doohMama si ana Mme wake ambaye ni baba? Akapate mapenzi huko, kama ni single maza atajiju! Kila mtu apate mapenzi kwa mpenziwe!
🤔🤔🤔🤔Mama si ana Mme wake ambaye ni baba? Akapate mapenzi huko, kama ni single maza atajiju! Kila mtu apate mapenzi kwa mpenziwe!
Viwe vichache au vingi lengo ni kujua mipaka tuMkuu ...mapenzi ya mama na mapenzi ya mke,,
Tofauti kama mbingu na ardhi.
Tusidanganyane humu..
Umeoa mtoto mbichi unampenda sana,,
Tena ndoa bado changa.
hizo nguvu za kuhimili hayo utazitoa wapi?
- wanaume waliogombana na mama zao kisa mke ni wengi sana.
- kuliko wanaume waliogombana na wake zao sababu ya mama...