Kati ya Mama na Mke nani anastahili zaidi ya 50% ya mapenzi

Kati ya Mama na Mke nani anastahili zaidi ya 50% ya mapenzi

Kauliza swali la kitoto sana. Kwamba lazima uchague. Kwani ni dhambi kuwapenda wote kwa dhati (100%)? Analazimisha eti upendo ugawanywe kama kiazi, nusu kwa nusu!
Utoto tu...

Yani niache kupendana na mke wangu nikampende mke wa baba??
 
Acha maswali ya kitoto hayo. Unampa mamako mapenzi, wewe huwa unalala na mamako? Unataka ukalale na mamako siku 5 (50%) na siku 5 (50%) ukalale na mkeo, siyo? Swali la kijinga kabisa. Mpende mama yako kwa moyo wako wote (100%) na pia mpende mke wako kwa moyo wako wote (100%).
Nampa pole sana mwalimu wako. Ulimchosha sana
 
Kauliza swali la kitoto sana. Kwamba lazima uchague. Kwani ni dhambi kuwapenda wote kwa dhati (100%)? Analazimisha eti upendo ugawanywe kama kiazi, nusu kwa nusu!
Nyie ndio wale mnaolazimisha 1+1 iwe 11 wakati jibu ni 2
 
Sisomi uzi ila najibu
Mapenzi ya mama na mke ni tofauti
Wanaume wengi mnajisahau na kugeukia kwa mke jumla ,unasahau na kumpuuza mama ambae amekuhangaikia mpaka ulipo,kumbuka mke mmekutana tu ukibwani ,mnatakiwa kubalance mambo hapa ,mama zetu wengi hawajiwezi tena wengine mnasubiri mpaka muombwe pesa na mama na hamtumi aisee [emoji2303][emoji2303][emoji2303]
Unatakiwa umjali mama yako umpe kipaumbele kikubwa mfanye mkeo aone mama yako ndio kila kitu maana wanawake wengi huwa wabinafsi hata akiona unatoa msaada kwenu ananunaa anasahau ndio wamekufikisha hapo ulipo
Upendo wa mama hauwezi pata kwa yeyote watu watakutenga,watakucheka hata ukifilisika mama atasimama na wewe so upendo wa mama unatakiwa uwe asilimia kubwa wengine wanafata

Huwezi pata mama mwingine ila mke utapata hata kumi tuwatunze mama zetu wazazi wetu kiujumla bila kukumbushwa tafadhali hasa watoto wa kiume mnasahau sana nyumbani kwenu

Nimemaliza
 
Me nadhani hata mke naye ni mama wa watoto

Ko kama Nawapenda watoto bas its because of wife
Hata mama akiwepo kuna upweke ambao mungu aliuweka ndani ambao hutolewa na mkee
Bibilia inasema apataye mke anapata kibali kwa bwna
Na ss ni mwili mmoja

Mama nampenda sana
Ila namtii zaid
Kwa sabab bibilia imesema tuwatii wazaz


Ila mke love moooooooore.
 
Mke siyo ndugu yako mkuu.. ukiumwa tu aamue kubaki au kusonga lakin mama ako atakupgania hadi mwisho

Huyo mama ako mwenyewe inategemea ana umri gani mara nyingi uzeeni mama zetu washatangulia mbele za haki au na wao ni wazee hata hawawezi kukusaidia ukiumwa hapo ndio utajua umuhimu wa mke na watoto. Huku uzeeni familia ni ya muhimu sana
 
Hizi hisabati mbona sio timilifu

Mama 50%
Mke 50%
Baba 0%

Ewe kijana hata usijisumbue maana nawewe ukiwa baba hapo baadae hautowekwa kwenye mzani wa upendo kwa wanao watapendwa wamama na wake zao😂😂
 
Hizi hisabati mbona sio timilifu

Mama 50%
Mke 50%
Baba 0%

Ewe kijana hata usijisumbue maana nawewe ukiwa baba hapo baadae hautowekwa kwenye mzani wa upendo kwa wanao watapendwa wamama na wake zao😂😂
🤪🤣🤣🤣🤣🤣✔️
 
Inategemea na hatua uliyofikia na mazingira. Binafsi mpaka mama aniogeshe ipo shida kubwa na hamna namna
Huyo mke utakuwa umemwokota ila hujafunga nae ndoa na kuamua kuungana...mke sahihi hawez kukuacha.
Mamako anaweza kukuogesha?
 
Mama kwangu ana nafasi yake. Na mke anayo yake. Mama na mke huwezi kuwapima ktk mzani mmoja kamwe.
 
Nakubaliana nawe. Mama hana mpinzan
nafasi ya mama haina mbadala, haizibiki, wala haina sub.
Mama 70% wife 30%.
Ye mwenyewe kamkuta na nimeishi nae miaka mingi kuliko yeye wife, yani hadi niishi na wife muda nilioishi na mama atakua keshatangulia msbele za haki.
Wife anaweza kukusaliti, kukuchukia, kukuua, hata kukufanyia ubaya wowote lakini mama kama ni yeye alikuweka tumboni miezi tisa yeye ndio final kwenye maisha yako. TAMBUA HILO
 
Binafsi, sitakuja na haitakuja itokee nimthamini mke zaid ya mama. Labda mama akishafariki
 
Inategemea na hatua uliyofikia na mazingira. Binafsi mpaka mama aniogeshe ipo shida kubwa na hamna namna
Unataka ugomvi na baba ww...yan umekosa kabsa msaada pengine mpaka mama akuogeshe? Huna marafiki kama mke kakukimbia? Huna kaka, mdogo wako wa kiume? Vipi kama huna mke mamako unaweza kumwogesha akiumwa?
 
Mama kwangu ana nafasi yake. Na mke anayo yake. Mama na mke huwezi kuwapima ktk mzani mmoja kamwe.
Elewa kwamba lengo sio kupima ila migogoro inapotokea kuhusu nani wa kwanza?
 
Back
Top Bottom