Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,085
Utoto tu...
Yani niache kupendana na mke wangu nikampende mke wa baba??
Nampa pole sana mwalimu wako. Ulimchosha sanaAcha maswali ya kitoto hayo. Unampa mamako mapenzi, wewe huwa unalala na mamako? Unataka ukalale na mamako siku 5 (50%) na siku 5 (50%) ukalale na mkeo, siyo? Swali la kijinga kabisa. Mpende mama yako kwa moyo wako wote (100%) na pia mpende mke wako kwa moyo wako wote (100%).
Simple.
Nyie ndio wale mnaolazimisha 1+1 iwe 11 wakati jibu ni 2
Mke akifa unaoa mwingine ila mama akiondoka hakuna tena mama, sasa pima upendo kati ya mke na mama
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mke akifa unaoa mwingine ila mama akiondoka hakuna tena mama, sasa pima upendo kati ya mke na mama
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mke siyo ndugu yako mkuu.. ukiumwa tu aamue kubaki au kusonga lakin mama ako atakupgania hadi mwisho
Huyo mke utakuwa umemwokota ila hujafunga nae ndoa na kuamua kuungana...mke sahihi hawez kukuacha.
Mamako anaweza kukuogesha?
nafasi ya mama haina mbadala, haizibiki, wala haina sub.
Mama 70% wife 30%.
Ye mwenyewe kamkuta na nimeishi nae miaka mingi kuliko yeye wife, yani hadi niishi na wife muda nilioishi na mama atakua keshatangulia msbele za haki.
Wife anaweza kukusaliti, kukuchukia, kukuua, hata kukufanyia ubaya wowote lakini mama kama ni yeye alikuweka tumboni miezi tisa yeye ndio final kwenye maisha yako. TAMBUA HILO
Unataka ugomvi na baba ww...yan umekosa kabsa msaada pengine mpaka mama akuogeshe? Huna marafiki kama mke kakukimbia? Huna kaka, mdogo wako wa kiume? Vipi kama huna mke mamako unaweza kumwogesha akiumwa?Inategemea na hatua uliyofikia na mazingira. Binafsi mpaka mama aniogeshe ipo shida kubwa na hamna namna