Kati ya matofali ya kuchoma na ya saruji unachagua yapi?

Hapo yupo sahihi, kusimama kwa ghorofa ni uimara wa tofali.
Hakuna sehemu yoyote niliyosema kuwa uimara wa tofali hauhitajiki katika ujenzi wa ghorofa, na sio ghorofa tu hata nyumba ya kawaida itahitaji hizo tofali imara.

Naam, hoja kuu hapa ni tofali imara bila kujali ni za block ama choma. Au na wewe unaamini kuwa duniani hakuna ghorofa lililojengwa kwa tofali za kuchoma na kwamba haiwezekani kabisa.?
 
Nilisoma Mkwawa huko Iringa, majengo yake yamejengwa kwa matofali ya kuchoma, mpaka leo yapo imara na majengo yanazidi kupendeza. Ya kuchoma ni mazuri sana na yanadumu.
 
Hakuna sehemu yoyote niliyosema kuwa uimara wa tofali hauhitajiki katika ujenzi wa ghorofa, na sio ghorofa tu hata nyumba ya kawaida itahitaji hizo tofali imara.

Naam, hoja kuu hapa ni tofali imara bila kujali ni za block ama choma. Au na wewe unaamini kuwa duniani hakuna ghorofa lililojengwa kwa tofali za kuchoma na kwamba haiwezekani kabisa.?
"...yaani yeye anaamini kusimama kwa ghorofa eti ni uimara wa tofali.."

Hii statement yako ndio niliipinga, kusimama kwa ghorofa kunahitaji sana uimara wa tofali, labda kama sielewi vizuri kiswahili😂

Kuhusu tofali za kuchoma kujengea maghorofa nimetoka kumuelewesha hapo kuwa huko alipo akiona hakuna maghorofa yanajengwa kwa tofali za kuchoma basi ni sababu tofali za kuchoma hazipatikani kwa urahisi.

Maghorofa mengi sana Tanzania na nje ya Tanzania yamejengwa na yanaendelea kujengwa kwa tofali za kuchoma.

Mwisho pia nimemuambia tofali za kuchoma ni bora kuliko za cement
 
yaani yeye anaamini kusimama kwa ghorofa eti ni uimara wa tofali tu.."

Neno dogo sana kwenye kiswahili linaweza kubadilisha maana iliyokusudiwa.

Hapo mwisho kwenye statement yangu kuna neno "tu" , kama unakijua vizuri kiswahili ni lazima ukubaliana kauli yangu.

Civil Engineer yoyote atakubali kuwa kusimama kwa ghorofa si uimara wa tofali "tu" bali ni mkusanyiko wa vitu & na idea nyingi tu ambazo zinafanya hiyo ya fofali kuwa ya mbali kidogo kwenye considerations.

NADHANI NIISHIE HAPA.
 
"..yaani yeye anaamini kusimama kwa ghorofa eti ni uimara wa tofali tu.."

Neno tu ni kweli linabadilisha maana nzima, hata mm ningeona neno "tu" Wala nisingepinga hii statement yako. Lakini statement yako haikuwa na neno "tu"
Ilikuwa imeishia kwenye tofali
Nadhani unaweza kuona hapo nilichoreply, hakukua na neno "tu"
 
Attachments

  • Screenshot_20240820-184628_1.jpg
    Screenshot_20240820-184628_1.jpg
    151.3 KB · Views: 3
yaani yeye anaamini kusimama kwa ghorofa eti ni uimara wa tofali tu.."

Neno dogo sana kwenye kiswahili linaweza kubadilisha maana iliyokusudiwa.

Hapo mwisho kwenye statement yangu kuna neno "tu" , kama unakijua vizuri kiswahili ni lazima ukubaliana kauli yangu.

Civil Engineer yoyote atakubali kuwa kusimama kwa ghorofa si uimara wa tofali "tu" bali ni mkusanyiko wa vitu & na idea nyingi tu ambazo zinafanya hiyo ya fofali kuwa ya mbali kidogo kwenye considerations.

NADHANI NIISHIE HAPA.
Tofali imara haiwezi kuwa consideration ya mbali
Hiyo ndio consideration ya kwanza. Labda lisiwe ghorofa hizi za tofali, liwe la steel & glasses
 
Neno tu ni kweli linabadilisha maana nzima, hata mm ningeona neno "tu" Wala nisingepinga hii statement yako. Lakini statement yako haikuwa na neno "tu"
Ilikuwa imeishia kwenye tofali
Nadhani unaweza kuona hapo nilichoreply, hakukua na neno "tu"
Screenshot_2024-08-20-18-54-50-86.png
 
Tofali imara haiwezi kuwa consideration ya mbali
Hiyo ndio consideration ya kwanza. Labda lisiwe ghorofa hizi za tofali, liwe la steel & glasses
😁😁😁
Kwamba as a Civil Engineering prospect ukitaka kujenga ghorofa tofali ndio zitapewa kipaumbele cha KWANZA?

Uache vingine vyote uje kuanzia kwenye uimara wa tofali? Uimara wa tofali ni muhimu kwenye ghorofa lakini hii itakuwa ya mbali kidogo kwenye considerations kama nilivyosema awali (labda itakuwa ya nne huko).

Kwamfano nikitaka kujenga ghorofa kabla sijawaza tofali, siwezi kuwazia tofali kabla ya aina ya udongo au mchanga wa eneo husika (hii ni lazima ita affect moja kwa moja juu ya namna nitakavyouanza ujenzi wangu) na bado kuna factor nyingine nyingi tu hapo, umeona ni jinsi gani tofali zitakuwa considered kwa mbali kidogo.?

Kwa kauli yako hiyo, you may be a Civil engineer kweli lakini ni mtu unayetoa hoja kwa mujibu wa notice za kusoma darasani not by experince linapokuja swala la ujenzi wa maghorofa.

I speak as Civil Engineer niliye na uzoefu kwa kuwa sites nyingi za serikali za ujenzi wa Maghorofa under somebody ENG. PETRO ELIKANA NGATTA who was a Zonal Construction Manager at JKT na sasa Taifa.

Nimefanya na ninaendelea kufanya sana hizo mbanga.

I sign off this debate kwasababu sikuwa na muda wa kubishana bali kuelekezana tu.

KWENYE MADA HII, NAISHIA HAPA.
 
Oyaa weka screenshot ambayo mimi nimereply kwako, usiweke hii, maana hii yako inaruhusu editing😂😂

Anyway, mm nimeelewa vizuri point yako na upo sahihi kabisa, ni vile tu pengine hukuiweka sawa
Mimi nilimaanisha kusema kama nilivyotuma kwenye screenshot hapo, mbona unataka kunibana mbavu?😁

Haina noma kaka kama umeelewa hoja niliyomaanisha, pamoja sana👊.
 
😁😁😁
Kwamba as a Civil Engineering prospect ukitaka kujenga ghorofa tofali ndio zitapewa kipaumbele cha KWANZA?

Uache vingine vyote uje kuanzia kwenye uimara wa tofali? Uimara wa tofali ni muhimu kwenye ghorofa lakini hii itakuwa ya mbali kidogo kwenye considerations kama nilivyosema awali (labda itakuwa ya nne huko).

Kwamfano nikitaka kujenga ghorofa kabla sijawaza tofali, siwezi kuwazia tofali kabla ya aina ya udongo au mchanga wa eneo husika (hii ni lazima ita affect moja kwa moja juu ya namna nitakavyouanza ujenzi wangu) na bado kuna factor nyingine nyingi tu hapo, umeona ni jinsi gani tofali zitakuwa considered kwa mbali kidogo.?

Kwa kauli yako hiyo, you may be a Civil engineer kweli lakini ni mtu unayetoa hoja kwa mujibu wa notice za kusoma darasani not by experince linapokuja swala la ujenzi wa maghorofa.

I speak as Civil Engineer niliye na uzoefu kwa kuwa sites nyingi za serikali za ujenzi wa Maghorofa under somebody ENG. PETRO ELIKANA NGATTA who was a Zonal Construction Manager at JKT na sasa Taifa.

Nimefanya na ninaendelea kufanya sana hizo mbanga.

I sign off this debate kwasababu sikuwa na muda wa kubishana bali kuelekezana tu.

KWENYE MADA HII, NAISHIA HAPA.
Ni factor kubwa mno kuconsider, unaweza kuanza na hivyo vyote then tofali zikiwa hovyo litakua ni ghorofa hilo? But naweza nikaacha kuconsider udongo na bado nikasimamisha ghorofa(mengi unayoona haya ya residential hakuna aliyeangalia hayo lakini bado yamesimama)

Hivi unajua maghorofa mengi hayana hata usimamizi wa engineer? Ni fundi juma tu kaitwa kajenga kwa uzoefu wake. Hapo Sasa udongo umeangaliwa saa ngapi?

Ofcourse mimi sio civi engineer, but but..😂
Kuhusu experience ya kujenga maghorofa, hapo naomba nikutoe wasiwasi Ila tusiende sana huku😂😂

Umezunguzmia sana kuhusu udongo, kwani kuna udongo haufai kujengwa ghorofa? Hili swali usikurupuke😂

Sioni kama tunabishana, bali ni mjadala kutokana na kilichokuwa kinajadiliwa
 
Unezunguzmia sana kuhusu udongo, kwani kuna udongo haufai kujengwa ghorofa? Hili swali usikurupuke😂

Sioni kama tunabishana, bali ni mjadala kutokana na kilichokuwa kinajadiliwa
okay.
 
Wazo hill hapo watu wanajenga maghorofa ya kuishi, hakuna udongo uliopimwa Wala mchoro wa ghorofa uliopelekwa halmashauri kupitishwa. Lakini bado maghorofa yanasimama

Hizi procedures zote wanatumia watu wanaojenga commercial buildings au sky scrappers
 
Ni factor kubwa mno kuconsider, unaweza kuanza na hivyo vyote then tofali zikiwa hovyo litakua ni ghorofa hilo? But naweza nikaacha kuconsider udongo na bado nikasimamisha ghorofa(mengi unayoona haya ya residential hakuna aliyeangalia hayo lakini bado yamesimama)

Hivi unajua maghorofa mengi hayana hata usimamizi wa engineer? Ni fundi juma tu kaitwa kajenga kwa uzoefu wake. Hapo Sasa udongo umeangaliwa saa ngapi?

Ofcourse mimi sio civi engineer, but but..😂
Kuhusu experience ya kujenga maghorofa, hapo naomba nikutoe wasiwasi Ila tusiende sana huku😂😂

Umezunguzmia sana kuhusu udongo, kwani kuna udongo haufai kujengwa ghorofa? Hili swali usikurupuke😂

Sioni kama tunabishana, bali ni mjadala kutokana na kilichokuwa kinajadiliwa
Bwana weeeh mbona unahamisha sana topic na hoja yangu, binafsi nashindwa nikujibu nini maana kila ukijibu uleta jibu na hoja ambayo sijaizungumzia na sijui unazitoa wapi, na hicho ndo kinafanya nione kama uko hapa kubishana ili uonekane unajua sana, HAUTAKIWI KUWA HIVYO.

hakuna sehemu nimesema tofali imara sio kitu kikubwa cha kuzingatiwa kwenye ujenzi wa ghorofa, nakubali ni kikubwa ila sio "cha kwanza" kama ulivyojaribu kisema huko juu (rejea comment zako).

Sasa hiyo hoja ya uliyoanza nayo kwa kusema ("..Unaweza kuanza na vyote then tofali zikawa hovyo litakuwa ghorofa hilo..?") UMEITOA WAPI.? Nionyeshe ni wapi nimesema unaweza kujenga ghorofa kwa kuanza na vingine halafu tofali ziwe hovyo...

HOJA YANGU NI KWAMBA, mimi kama Civil Engineer mzoefu najua umuhimu wa tofali imara ila SIWEZI kusema kwamba tofali imara ndio kitu cha kwanza nitawaza kama nitakuwa na tender ya ujenzi wa ghorofa.

Wewe kama unaona CHA KWANZA ni tofali, basi utakuwa ni Engineer wa kipekee sana kwenye hii game ya Construction.
 
Tofari za cement zinachakachuliwa sana, imagine mfuko mmoja wa saruji unatoa tofari 50, si unga tupu huo?
 
Bwana weeeh mbona unahamisha sana topic na hoja yangu, binafsi nashindwa nikujibu nini maana kila ukijibu uleta jibu na hoja ambayo sijaizungumzia na sijui unazitoa wapi, na hicho ndo kinafanya nione kama uko hapa kubishana ili uonekane unajua sana, HAUTAKIWI KUWA HIVYO.
Huyo ndivyo alivyo, akili yake iko anticlockwise
 
Ni factor kubwa mno kuconsider, unaweza kuanza na hivyo vyote then tofali zikiwa hovyo litakua ni ghorofa hilo? But naweza nikaacha kuconsider udongo na bado nikasimamisha ghorofa(mengi unayoona haya ya residential hakuna aliyeangalia hayo lakini bado yamesimama)

Hivi unajua maghorofa mengi hayana hata usimamizi wa engineer? Ni fundi juma tu kaitwa kajenga kwa uzoefu wake. Hapo Sasa udongo umeangaliwa saa ngapi?

Ofcourse mimi sio civi engineer, but but..😂
Kuhusu experience ya kujenga maghorofa, hapo naomba nikutoe wasiwasi Ila tusiende sana huku😂😂

Umezunguzmia sana kuhusu udongo, kwani kuna udongo haufai kujengwa ghorofa? Hili swali usikurupuke😂

Sioni kama tunabishana, bali ni mjadala kutokana na kilichokuwa kinajadiliwa
Kwahiyo hujaona umuhimu wa kujadili udongo wa sehemu linapoenda kujengwa ghorofa au jengo.?

Unadhani namna ya kuuanza ujenzi wa ghorofa kwenye udondo wa kichanga (unaotitia kirahisi) na ule wa kawaida utakuwa sawa.?

Kwenye ghorofa huko ni mbali sana, jiulize anayejenga shimo la choo kwenye sehemu yenye udongo mfinyanzi (ambao obviously haunyonyi maji kirahisi) atakuwa na procedures sawa na anayejenga shimo hilohilo kwenye udongo wa kawaida unaonyonya maji kirahisi na kutitia kiuwepesi.?

Kaka tusifike mbali bwana😁
 
Bwana weeeh mbona unahamisha sana topic na hoja yangu, binafsi nashindwa nikujibu nini maana kila ukijibu uleta jibu na hoja ambayo sijaizungumzia na sijui unazitoa wapi, na hicho ndo kinafanya nione kama uko hapa kubishana ili uonekane unajua sana, HAUTAKIWI KUWA HIVYO.

hakuna sehemu nimesema tofali imara sio kitu kikubwa cha kuzingatiwa kwenye ujenzi wa ghorofa, nakubali ni kikubwa ila sio "cha kwanza" kama ulivyojaribu kisema huko juu (rejea comment zako).

Sasa hiyo hoja ya uliyoanza nayo kwa kusema ("..Unaweza kuanza na vyote then tofali zikawa hovyo litakuwa ghorofa hilo..?") UMEITOA WAPI.? Nionyeshe ni wapi nimesema unaweza kujenga ghorofa kwa kuanza na vingine halafu tofali ziwe hovyo...

HOJA YANGU NI KWAMBA, mimi kama Civil Engineer mzoefu najua umuhimu wa tofali imara ila SIWEZI kusema kwamba tofali imara ndio kitu cha kwanza nitawaza kama nitakuwa na tender ya ujenzi wa ghorofa.

Wewe kama unaona CHA KWANZA ni tofali, basi utakuwa ni Engineer wa kipekee sana kwenye hii game ya Construction.
Huenda tunazungumza kitu kimoja lakini kwa lugha tofauti, nimeelewa lakini hadi hapa tulipofika ilikua sababu ya kile umeandika mwanzo. Btw nimeelewa vizuri tu nn ulimaanisha

Sema hiyo paragraph ya kwanza ni kama zile za uswahilini mkiwa mnajadili jambo utaskia mmoja anasema "...huyu anajifanya kasoma sana..."
Its a reckless statement ambayo Ina lengo la kufanya blackmail😂😂
 
Back
Top Bottom