Kati ya mdomo wa Wema na Hamisa upi umekaa vizuri kula Ndizi iliyoiva au kunyonya Pipi Kidungu?

Kumbe huna wito wa huo Ukasisi ila kwa kuwa unawaogopa wanawake

Logically na Critically kuna uhusiano gani wa Mimi kusema kuwa nawaogopa Wanawake na nia yangu ya Mimi kuja kuwa Padiri / Kasisi siku moja? Nalisubiri kwa hamu sana jibu lako ili niweze kuipima vyema na kiufasaha IQ yako na kunisaidia pia kujua ama niendelee kujadiliana na Wewe humu au niachane nawe kwakuwa nitakupa napoteza tu muda wangu.
 
Hz mada za geñta za skuhiz
Nouma kweli

Zizoee tu Mkuu. Halafu bado nasisitiza na hii sasa imepelekea Mimi kuamini kwamba kuna uwezekano mkubwa Watu huwa hawatilii maanani hizi ' Signatures ' za Members humu Jamvini. Labda kwa kukusaidia Wewe na Wenzako wenye mtazamo huu ' ulioutapika ' hapa niwaombeni tu kwamba ipitieni upya, vizuri na kwa utaratibu mno hiyo ' Signature ' hapo chini kwani ina 100% ya ' Uhalisia ' wa GENTAMYCINE.

Kila la kheri.
 
Mmmmh nimeshtushwa na ujumbe wako[emoji15] mkuu hawa wanawake walikufanyeje?
Mbona ni viumbe vizuri tuu ukivijulia
 
Ukiwa Padre, Shunie utamuacha na nani Mkuu?
 
Mmmmh nimeshtushwa na ujumbe wako[emoji15] mkuu hawa wanawake walikufanyeje?
Mbona ni viumbe vizuri tuu ukivijulia

Nipo radhi nishinde ' Ghettoni ' Kwangu akina Al Qaeda, Boko Haram, Al Shabaab, Hezbollah, Hamas na ISIS ( namaanisha Magaidi ) tena hata wakiwa 100 kwa ujumla Wao kuliko Kiumbe Kimoja tu Kiitwacho Mwanamke. Mkuu nawaogopa hawa hakuna mfano japo huwa nawapenda tu kwa kuwaangalia ili nami niweze kupongeza Neema za Allah katika Kuwaumba.
 
Umetumia sana nguvu bila hata sababu,mbona haki yako kujibu unavyo kisikia wala usijali,na kama kukuuliza kama ni wewe kweli kosa SAMAHANI SANA TENA SANAAAAA usijikere bila sababu hua sipendi kumuudhi mtu.
 
Watu wa Mara ni zao kutumia miguvu mingi kuua sisimizi kuliko busara.
Huyu tumemzoea wala asikuharibie siku.
Kama ungemtukana ndio angekuona wewe mjanja
 
Umetumia sana nguvu bila hata sababu,mbona haki yako kujibu unavyo kisikia wala usijali,na kama kukuuliza kama ni wewe kweli kosa SAMAHANI SANA TENA SANAAAAA usijikere bila sababu hua sipendi kumuudhi mtu.

Ni kawaida yangu kuwajibu hivyo ' Wapuuzi ' na ' Wanafiki ' waliotukuka wa mfano wako. Mimi nilidhani tayari umeshaniweka katika ' Ignore List ' yako kumbe bado una hata muda wa kupoteza ' Kujibizana ' nami?
 
Hahaahahahah Yooooo Gentaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…