GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #41
Watu wa Mara ni zao kutumia miguvu mingi kuua sisimizi kuliko busara.
Huyu tumemzoea wala asikuharibie siku.
Kama ungemtukana ndio angekuona wewe mjanja
Wa wema mzuri
Hahaahahahah Yooooo Gentaa
Mi kura kwa wema tu ana lips tamu sana za hamisa hapanaHata Mimi naona Mkuu kwa nahisi Ndizi mdomoni mwake inaweza ikaingia nzima nzima na hata akitaka kuitema pia inaweza kutoka vivyo hivyo kwa Pipi Kidungu ( Lollipop ) ila hata Hamisa nae si haba Mkuu. Midomo yao inanichanganya mno halafu yote naipenda.
Mtani umepagawa wewe si bure baada ya jana kukamatwa na mzee baba Yanga kileleni.Hivi sasa nipo busy sana nabuni ' Tangazo ' la Biashara ambalo litarushwa katika Runinga / Mkadage ambalo linahusisha Ulaji wa Ndizi iliyoiva kwa afya bora na lingine linahusisha Unyonyaji wa Pipi Kidungu ( Lollipop ) ambapo natafuta Mwanamke ' maarufu ' na mwenye ' mvuto ' nchini ili aweze kuyacheza yote mawili.
Katika Uchunguzi wangu huwa navutiwa sana na midomo ya hawa Wanawake wawili ' maarufu ' nchini Wema Sepetu na Hamisa Mobeto hadi kuhisi kwamba nikiwashirikisha na hili ' dili ' langu basi ' nitatusua ' na Tangazo litabamba mno ila bado sijajua ni yupi anafaa zaidi ya mwenzake.
Je Wadau wangu wa JamiiForums mnadhani kati ya Wema Sepetu na Hamisa Mobeto ni nani ana mdomo mzuri wa Kula Ndizi iliyoiva na Kulamba Pipi Kidungu au Lollipop? Nitawashukuruni nyote kwa majibu yenu ambayo yatapelekea Mimi kufanya Kazi za Kimatangazo na mmoja wao hapo.
Nawasilisha.
Siku ukiondoka jf jua hakuna wa kuliziba hili pengo,,ubaki milele unanipaga raha sanaNiambie Mama la Mama ' Mama Sabrina '.
Mi kura kwa wema tu ana lips tamu sana za hamisa hapana
Watu mna wivuuu jaman kwani Genta sio mwanaumeHahaha, shemeji yule aliyemzimikia humu? na kumuanzishia Uzi?
Nilitajwa ni mimi shost shunie baby wa GentaHivi mwishowe alimtaja? maana mie niliona uzi unakwenda tu lakini hatajwi!
Heheheh basi chagua anaekufaaIla kuna Mtu hapa kaniambia kuwa kwa Kula Ndizi mdomo wa Wema unafaa na anaweza ila kwa Kunyonya ipasavyo Pipi Kidungu yenye ' Kidungu ' cheusi na laini hawezi na kwamba Hamisa ndiyo mpango mzima. Yaani Mkuu huwezi amini hadi sasa nachanganyikiwa nifanye Kazi na nani kati ya Wawili hawa.
Mtani umepagawa wewe si bure baada ya jana kukamatwa na mzee baba Yanga kileleni.
Hahaha umeniweza, kila nitakalo kwambia halitakua na nguvu kwani huwezi kupigana na ASIYEKUPIGA, nitaonekana mwonevuWewe wala sikugusi ' Mtani ' na una haki zote za ' Kimila ' kunipiga Mimi ' madongo ' uyatakayo na nimekuruhusu pia ila siyo kwa hao ' Wapuuzi ' wa Makabila mengine ambapo wakijipendekeza tu huwa siwabakishi na nawapa tu ' dozi ' zao murua.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] halaf baby nina mdomo kama wa wema wa kulamba lollpopUkiwa Padre, Shunie utamuacha na nani Mkuu?
Nae atakuwa Sister na tutaungana na kupeana nae ' ushirikiano ' wetu huko huko Parokiani, Vigangoni na Madhabahuni.
Siku ukiondoka jf jua hakuna wa kuliziba hili pengo,,ubaki milele unanipaga raha sana
Cheupe wangu upo?Siku ukiondoka jf jua hakuna wa kuliziba hili pengo,,ubaki milele unanipaga raha sana