Kati ya mdomo wa Wema na Hamisa upi umekaa vizuri kula Ndizi iliyoiva au kunyonya Pipi Kidungu?

Hahaha umeniweza, kila nitakalo kwambia halitakua na nguvu kwani huwezi kupigana na ASIYEKUPIGA, nitaonekana mwonevu

Afadhali umeushtukia ' mtego ' wangu mapema Mtani na huyo ndiyo GENTAMYCINE ulipoamkia Wewe leo Mimi mwenzako nililala huko juzi.
 
kwi kwi kwiii padre tena
 
kwi kwi kwiii padre tena

Tena nikiwa Padre nadhani nitafanya vyema mno katika ' Mahubiri ' na kuwabadilisha Watu kwani ' dhambi ' nilizozitenda hadi sasa nikikaribia tu mlangoni kwa Mwenyezi Mungu nageuka kuwa Kuni ya Kuchochea moto hapo hapo.
 
Tena nikiwa Padre nadhani nitafanya vyema mno katika ' Mahubiri ' na kuwabadilisha Watu kwani ' dhambi ' nilizozitenda hadi sasa nikikaribia tu mlangoni kwa Mwenyezi Munga nageuka kuwa Kuni ya Kuchochea moto hapo hapo.
sawa mkubwa,me nampendekeza mobeto
 
Hahahahaha usimuache bana

Hata Mimi kiukweli sitaki kumuacha na wala mpango huo sina ila tatizo tu ni kwamba naona Moyo wangu taratibu unashawishika nawe na kila nikiuzuia hautaki sasa sijui nifanyeje. Ila Shunie wangu nampenda kuliko maelezo japo na Wewe unanishawishi kunakotukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…