Veta wako more practicle kuliko hao wa UDSM kazi yao ni kuomba mshahara mkubwa ila kazi hamna kitu.Naenda maonyesho ya sabasaba kila mwaka, huwa napitia mabanda ya VETA, SIDO na Kitivo cha UHANDISI UDSM kote nakutana TU na mashine za kufyatua matofali zenye ingini kutoka China, ninashindwa kutofautisha viwango vya ujuzi kati ya taasisi hizi tatu. Je, ni mhitimu yupi Bora kati ya wanafunzi wa VETA na wale wa kutoka Kitivo cha UHANDISI UDSM? Kama mwajili utapenda kutoa ajira kwa mhitimu yupi?
Kwani unadhani ilikuwa rahisi mkuu kusema hata wenye digrii waende VETA? Hivi wewe una kipya kinachofanywa na wahamdisi wenye digrii hapa nchini?Kweli Dunia imevaa Dela, ni kuishikilia tyuh.
COET inafananishwa na VETA? Nachokaa mie.
Hili limeniliza sana, 😭😭😭😭
Nikasome wapi bhana wakati naona barabara zote zinajengwa na wachina, magari yetu tunatengenezewa na mafundi wa hivihiiivi miemneni, mashine nyingi zinachongwa na wahitinu wa VETA na SIDO pale? Hata vijiko tunaagiza kutoka hukoo, na mwishowe hata toothpicks tunaagiza? Wewe huohopi!!!Kasome kwanza kazi za engineer na technician..haf njoo uulize swali lako..
Kusoma na kuelimika ni vitu 2 tofauti. Kusoma ni vyeti na kuelimika ni namna ulichosoma kinavyorudi kwenye jamii na kutatatua kero zao na kero zako kwa pamoja.Shida ya JF mi kuwa kila pimbi anaruhusiwa kuandika ..
Unaweza kutofautisha katika ya:
Unaweza kutofautisha kati ya:
- Artisan
- Technician
- Engineer?
Au kwako wewe yule anayechoma sindano ndio kila kitu?
- Nurse
- Clinical officer
- Medical Doctor
- Specialist?
VETA hawezi kutengeneza sindano ya kushonea vishikizo vya shati na graduate wa chuo kikuu hawezi pia, yaani wote wapo lakini sindano (needles) tunatoa uchina. Hiyo analysis sikui evaluation is nonsense.Veta ni watu wa practical zaidi tena Probably anachokifanyia Practices hata Hajui structure yake
Mhandisi wa COet yeye Ni Mtu wa analysis na Complex Evaluation za Ivo vitu technically huyo Veta akipewa kitu afanye kinakuwa Analyzed tayari na wataalam
Itategemea na mahitaji ya mwajiri. Kuna kazi ambazo engineer anahitajika, kuna ambazo mtu wa veta atahitajika.Naenda maonyesho ya sabasaba kila mwaka, huwa napitia mabanda ya VETA, SIDO na Kitivo cha UHANDISI UDSM kote nakutana TU na mashine za kufyatua matofali zenye ingini kutoka China, ninashindwa kutofautisha viwango vya ujuzi kati ya taasisi hizi tatu. Je, ni mhitimu yupi Bora kati ya wanafunzi wa VETA na wale wa kutoka Kitivo cha UHANDISI UDSM? Kama mwajili utapenda kutoa ajira kwa mhitimu yupi?
Tofauti ipo kwenye vyeti, matarajio na viwango vya mishahara, lakini jamii (mtumiaji wa mwisho) inachohitaji ni huduma. Yaani gari langu limeharibikia njiani nataka fundi aje alitengeneze ili kuendelea na safari yangu. Nani kati ya hawa 2 nitampata haraka na nani kati ya hawa atafanikisha gari langu lipone na kuendelea na safir yangu.Itategemea na mahitaji ya mwajiri. Kuna kazi ambazo engineer anahitajika, kuna ambazo mtu wa veta atahitajika.
Ndio maana unatakiwa ujifunze, tofauti haiko kwenye vyeti hata majukumu. Engineer unamuongelea hapa ni wa fani gani maana wako wengi?Tofauti ipo kwenye vyeti, matarajio na viwango vya mishahara, lakini jamii (mtumiaji wa mwisho) inachohitaji ni huduma. Yaani gari langu limeharibikia njiani nataka fundi aje alitengeneze ili kuendelea na safari yangu. Nani kati ya hawa 2 nitampata haraka na nani kati ya hawa atafanikisha gari langu lipone na kuendelea na safir yangu.
Sasa ni kipi kilichozuia huyu mhandisi na ye afanye practical kama wa veta??,,je wajua vyote ni mhimu??..kwa style hiyo uyu injinia sehemu ingine atashindwa kuajiriwa.Veta ni watu wa practical zaidi tena Probably anachokifanyia Practices hata Hajui structure yake
Mhandisi wa COet yeye Ni Mtu wa analysis na Complex Evaluation za Ivo vitu technically huyo Veta akipewa kitu afanye kinakuwa Analyzed tayari na wataalam
Kama huwezi kumkuta engineer mwenye degree Moja akichanganya udogo hapo ndipo tatizo la elimu yetu lilipoanzia.Ndio maana unatakiwa ujifunze, tofauti haiko kwenye vyeti hata majukumu. Engineer unamuongelea hapa ni wa fani gani maana wako wengi?
Engineer hata kimasomo, mitaala yao ime focus kwenye design,analysis, and development. Huwezi mkuta engineer site anabeba cement au anakoroga zege.
While watu wa veta ni practical application, ndio maana huwez kuta fundi wa veta anasimamia mradi wa barabara, au ana design madaraja na barabara.
Kila mmoja ana faida yake, na mahali pake
Ulitaka mhandisi wa Ujenzi...na yeye ajenge Tofali kweli....Yeye yupo level ya management.Naenda maonyesho ya sabasaba kila mwaka, huwa napitia mabanda ya VETA, SIDO na Kitivo cha UHANDISI UDSM kote nakutana TU na mashine za kufyatua matofali zenye ingini kutoka China, ninashindwa kutofautisha viwango vya ujuzi kati ya taasisi hizi tatu. Je, ni mhitimu yupi Bora kati ya wanafunzi wa VETA na wale wa kutoka Kitivo cha UHANDISI UDSM? Kama mwajili utapenda kutoa ajira kwa mhitimu yupi?
Ofcourse wanafundishwa almost everything, lakin si focus ya course yao. Ukishafika degree is about usimamizi zaidi, field work ni diploma na kushukaKama huwezi kumkuta engineer mwenye degree Moja akichanganya udogo hapo ndipo tatizo la elimu yetu lilipoanzia.