Hebu nenda kaulizie wale wachina wanaokata vyuma kule site ujue elimu zao. Hiyo ni sawa na kusema dk mwenye degree asitibu malaria Wala kupasua jipu ili hiyo kazi ifanywe na wenye certificates na diploma. Yaani wenye degree wote wasubiri wale wagonjwa wanaokaribia kufa ndio waonyeshe ujuzi wao wa kuzuia kifo. Kama anaechanyanya udongo wa tofali itakuwa garbage in garbage out.Ulitaka mhandisi wa Ujenzi...na yeye ajenge Tofali kweli....Yeye yupo level ya management.
Ivi Watz ni lini Ujinga utatuisha.
Yani mnataka wote wawe watendaji haya na wakaguaji na wasimamizi wawe kina nani.
Huna unalojua ww kumbe....ni kilaza wa mwisho kwaiyo wale wachina wakunja nondo unajuaga ni Engineers?Hebu nenda kaulizie wale wachina wanaokata vyuma kule site ujue elimu zao. Hiyo ni sawa na kusema dk mwenye degree asitibu malaria Wala kupasua jipu ili hiyo kazi ifanywe na wenye certificates na diploma. Yaani wenye degree wote wasubiri wale wagonjwa wanaokaribia kufa ndio waonyeshe ujuzi wao wa kuzuia kifo. Kama anaechanyanya udongo wa tofali itakuwa garbage in garbage out.
Em rudia sijaelewa,Kwani unadhani ilikuwa rahisi mkuu kusema hata wenye digrii waende VETA? Hivi wewe una kipya kinachofanywa na wahamdisi wenye digrii hapa nchini?
Muongozee na artisan/craftsman ili aelewe vizuri sasa apate kuchagua mtu anayemuhitaji ni yupi.Kasome kwanza kazi za engineer na technician..haf njoo uulize swali lako..
Kwaakili yako unajuaga kuwa first degree ni elimu kuuuubwa ajabu. Hapo ndipo tulipofeli, tulipoamua kuvibadilisha vyuo vya kati kuwa vyuo vikuu. Waliomaliza IDM Mzumbe ni bora kuliko wanaomaliza Mzumbe University, Wanaomaliza DIT ni bora kuliko waliomaliza Faculty of engineering; na yule AMO alikuwa bora kuliko MD; hovyo kabisa.Huna unalojua ww kumbe....ni kilaza wa mwisho kwaiyo wale wachina wakunja nondo unajuaga ni Engineers?
Duu tuna safari ndefu
Kwani hao unaowaita engineers wa chuo kikuu si ndio hao wanaojenga majengo yenye nyufa? si ndio haohao wanaotumbuliwa papo kwa papo kwenye ziara za waheshimiwa? si ndio hao kazi zao zinashindwa kupokelewa?Duh kweli tumefikia huku!
We jamaa bana Kuna Kitu kinaitwa Job descriptionSasa ni kipi kilichozuia huyu mhandisi na ye afanye practical kama wa veta??,,je wajua vyote ni mhimu??..kwa style hiyo uyu injinia sehemu ingine atashindwa kuajiriwa.
Kwaiyo wale Wakunja Nondo wa Kichina ni First degree??Kwaakili yako unajuaga kuwa first degree ni elimu kuuuubwa ajabu. Hapo ndipo tulipofeli, tulipoamua kuvibadilisha vyuo vya kati kuwa vyuo vikuu. Waliomaliza IDM Mzumbe ni bora kuliko wanaomaliza Mzumbe University, Wanaomaliza DIT ni bora kuliko waliomaliza Faculty of engineering; na yule AMO alikuwa bora kuliko MD; hovyo kabisa.
Wako more bookish, kukariri kwaajili ya mitihani na kuiba maswali pamoja na chabo nyingi. Kifupi wako more theoretically, kwenye educational psychology hii ya kwao tunaiita rote learning. Majengo ya mkoloni yapo mpaka Leo imara lakini malengo ya hawa jamaa yamejaa nyufa na kuvuja.Veta wako more practicle kuliko hao wa UDSM kazi yao ni kuomba mshahara mkubwa ila kazi hamna kitu.
Fafanua mkuu,si wote tunajua job description,what you mean?We jamaa bana Kuna Kitu kinaitwa Job description
Kweli Dunia imevaa Dela, ni kuishikilia tyuh.
COET inafananishwa na VETA? Nachokaa mie.
Hili limeniliza sana, 😭😭😭😭
Wee Jamaa AMO alikuwa bora kuliko MD lini?? Mwaka Gani??Kwaakili yako unajuaga kuwa first degree ni elimu kuuuubwa ajabu. Hapo ndipo tulipofeli, tulipoamua kuvibadilisha vyuo vya kati kuwa vyuo vikuu. Waliomaliza IDM Mzumbe ni bora kuliko wanaomaliza Mzumbe University, Wanaomaliza DIT ni bora kuliko waliomaliza Faculty of engineering; na yule AMO alikuwa bora kuliko MD; hovyo kabisa.
Inaonekana ulifeli....ukaenda kusoma uticha ndo maana Una chuki na engineers. Nenda kasome Kwanza pale Coet halafu uone kama hadhi yako itakuwa kuchanganya topeWako more bookish, kukariri kwaajili ya mitihani na kuiba maswali pamoja na chabo nyingi. Kifupi wako more theoretically, kwenye educational psychology hii ya kwao tunaiita rote learning. Majengo ya mkoloni yapo mpaka Leo imara lakini malengo ya hawa jamaa yamejaa nyufa na kuvuja.
Majengo (nyumba) Tanzania zimedesigniwa na engineers? Kwanza 95% ya watanzania wamejengewa na vijana wa VETA au local fundis nyumba zao Hawajui kama Kuna vilaza waliomaliza vyuo vikuu wanaotakiwa kudesign nyumba zao, nenda tandale, buguruni, Gongola moto, mbagala, nk kahesabu nyumba nyumba zilizojengwa kwa designs za "engineers" waliosoma knowledge based education (KBE) ya kusoma maswali ya mitihani na kuibia mitihani ya darasani.Engineer nimtaalam na hashiki nyundo kupaua nyumba .
Kazi ya Engineer ni kudesign na kumsimamia fundi Kutoka Veta ili ashike nyundo vizuri na kujenga mjengo aliodesign kama inavyotakiwa.
Usitegemee Fundi kutoka Veta aweze kudesign au kusimamia structure ya jengo kama lile la Bandari .
Wanapoambiwa waende Veta ni kwa ajili ya kujifunza namna ya kushika ,beleshi ,kijiko , Kobilo na nyundo na kupaua jengo au kujenga jengo alilodesign yeye mwenyewe ili ajiajiri yeye mwenyewe kwenye ujenzi mdogo mdogo.
Lakini pia veta kuna kozi nyingi za kujiajiri kama upishi, kusuka nywele ,mapambo , kutengeneza unga wa lishe ,kusindika vyakula ns vinywaji, kutengeneza sabuni n.k
COET yenyewe haijui hata ni kitu ganiKweli Dunia imevaa Dela, ni kuishikilia tyuh.
COET inafananishwa na VETA? Nachokaa mie.
Hili limeniliza sana, 😭😭😭😭