Siyo SA tu,duniq ilipaswa kuwa chini ya white skinned kwa 100%, maana popote pale alipotawala mtu mweusi panageuka shimo la mikosi,haiti ni mfano mzuri,japo wale si waafrika lakini maisha yao ni ya ki afrika kabisa,south afrika uchaguzi ni mwakani,lakini ukiwauliza wa south wenyewe wanamtaka mgombea gani kati ya walioonyesha nia ya kugombea utagundua jinsi walivyogawanyika kwa makundi mengi, EFF ya Julius malema iliyoonekana kuwa mkombozi sasa hivi imegeuka kituko, hakuna msouth anataka kuisikia,na badala yake ka kikundi cha wahuni wanaojipambanua kama maadui wa wahamiaji kinachojiita operation dudula ndiyo angalau kinapigiwa chapuo na wananchi wengi, south sasa hivi ni hakuna umeme wa uhakika,wanaita load shedding,maji ni ya taabu sana kwenye maeneo mengi,uhalifu ni wa kutisha,ajira hakuna,ila mzulu anaamini kuwa shida zao zooote zimeletwa na wahamiaji,hasa wazimbabwe na wanaijeria,nchi imeozq kabisa ile chini ya watawala weusi waliolaanika.