Kati ya Mkaburu na Mzulu, yupi anastahili kuiongoza Afrika Kusini?

Kati ya Mkaburu na Mzulu, yupi anastahili kuiongoza Afrika Kusini?

Kulikoni, mbona nyuz za makaburu zimekua nyng sn wiki hi?
Mkuu, umefanya tathmini ukabaini hilo?

Hata hivyo, si unajua kwa Mkaburu ndiyo "Marekani" ya Afrika. Si ajabu kutajwa tajwa sana.
 
Siyo SA tu,duniq ilipaswa kuwa chini ya white skinned kwa 100%, maana popote pale alipotawala mtu mweusi panageuka shimo la mikosi,haiti ni mfano mzuri,japo wale si waafrika lakini maisha yao ni ya ki afrika kabisa,south afrika uchaguzi ni mwakani,lakini ukiwauliza wa south wenyewe wanamtaka mgombea gani kati ya walioonyesha nia ya kugombea utagundua jinsi walivyogawanyika kwa makundi mengi, EFF ya Julius malema iliyoonekana kuwa mkombozi sasa hivi imegeuka kituko, hakuna msouth anataka kuisikia,na badala yake ka kikundi cha wahuni wanaojipambanua kama maadui wa wahamiaji kinachojiita operation dudula ndiyo angalau kinapigiwa chapuo na wananchi wengi, south sasa hivi ni hakuna umeme wa uhakika,wanaita load shedding,maji ni ya taabu sana kwenye maeneo mengi,uhalifu ni wa kutisha,ajira hakuna,ila mzulu anaamini kuwa shida zao zooote zimeletwa na wahamiaji,hasa wazimbabwe na wanaijeria,nchi imeozq kabisa ile chini ya watawala weusi waliolaanika.
 
Angalia UK ,alivyo ijenga DSM, vizuri Tu jiji aliliweka vizuri.

Tulivyo pata Uhuru, ukawa ni Uhuru wa manyani.
Kila kitu shaghabaghala.

Huwezi kuungoza nchi alafu uwachie citizens wafanye wanavyoweza bila muungozo wa serikali na kusimamia kiamilifu

Hiyo ni failed State,
 
Basi mkuu! Imetosha sasa!
 
Kura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo:

1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani

2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe

3. Tokea "Wazulu" washike hatamu, inaonekana kama kasi ya maendeleo ya Afrika Kusini imepungua

4. "Wazulu" wameshindwa kutokomeza uhalifu

5. "Wazulu" hawawapendi Waafrika wenzao

Kura yako ingeenda wapi na kwa nini?
Badala ya kuwaza kuwang'oa ccm waliokufanya uwe maskini unashadadia mambo ya South Africa
 
Badala ya kuwaza kuwang'oa ccm waliokufanya uwe maskini unashadadia mambo ya South Africa
Mkuu, itakuwa vizuri kama na wewe utaupandisha uzi unaouona unafaa ili uchangiwe na wadau. Mimi nimeupandisha huu kwa kuwa nimejiridhisha kwa kadiri ya uelewa wangu kuwa ni uzi sahihi kwa watu sahihi kwa wakati sahihi mahali sahihi.
 
Kura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo:

1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani

2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe

3. Tokea "Wazulu" washike hatamu, inaonekana kama kasi ya maendeleo ya Afrika Kusini imepungua

4. "Wazulu" wameshindwa kutokomeza uhalifu

5. "Wazulu" hawawapendi Waafrika wenzao

Kura yako ingeenda wapi na kwa nini?
"South Africa is the product of Boers, and Boers is the product of South Africa."
Period!
 
Mkuu dhambi ya makaburu ilikua ubaguzi tu...
Hata Zanu PF wameharibu Zimbabwe
Boers just practiced the POSITIVE DISCRIMINATION for the betterment of South Africa.

"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa watu weusi katika mchakato wa maedeleo ya nchi na Ujenzi wake kwa sababu hawana akili nzuri, endapo kama tungewajumuisha basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."
Pueter W. Botha, aliyekuwa Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za ubaguzi wa rangi.
 
True
 
Back
Top Bottom