demolisher
Member
- Apr 11, 2011
- 37
- 100
Kilimo ni siasa..Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
Mkulima ndiyo anastahili ruzuku.Sijuwi kwanini sekta muhimu kana hii wanaiwekea bajeti ndogo.Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?
Mbona hata chadema wanachukua je nani anaestahili ruzukuWakikujibu nistue
Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi, kumekuwa na utaratibu wa kutoa ruzuku kwa vyama vya siasa. CCM imekuwa ikichukua lion's share. Hapohapo mkulima wa Tanzania anayezalisha chakula hapati ruzuku ya pembejeo. Kati ya mkulima na vyama vya siasa nani anastahili ruzuku?

Wakulima wataendelea Kuteswa Miaka yote na CCM CCM haina Huruma na Wakulima kwani MATESO na SHIDA za Wakulima ndio MTAJI wa CCM KISIASA
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
CCM ndiyo anasitahili kupata Ruzuku,sababu anatumia akili Rushwa wakati wa u haguzi na ulaghai,Mkulima ndiyo anastahili ruzuku.Sijuwi kwanini sekta muhimu kana hii wanaiwekea bajeti ndogo.