Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,050
Ningekuwa Rais, muda huu ningekuwa nimeshamla kichwa Waziri wa Mambo ya Ndani (Bashungwa) kwani button aliyogusa ni nyeti mnoo na huwa haiguswi ovyo ovyo.
Bila Dini, hakuna siasa. Kumbuka watu wako tayari kufia dini lakini siyo chama cha siasa. Waumini wanawaamini viongozi wao wa dini zaidi ya wanavyowaamini viongozi wa kisiasa.
Duniani kote, dini ndizo zina wafuasi wengi zaidi kushinda hivi vyama vya siasa. Kiufupi vyama vya siasa ni takataka tu mbele ya dini.
Hivyo basi, kabla matamko zaidi ya hiki kinachoendelea hayajatolewa na viongozi wa kidini, basi serikali iwe proactive kuwawajibisha wale wote wanaojaribu kudogosha dini kwa kisingizio cha hairuhusiwi kuchanganya dini na siasa.