ZNM
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 1,219
- 1,280
Dhahabu, mali na fedha vyote ni mali ya Mungu, na labda nyongeza ni kuwa, Mungu alifanya njia ya kupata baraka na laana kwa njia ya matendo binafsi ya mtu, kwamba ukitenda wema kwa watu wakakutamkia ya kheri, baraka I juu yako! Ukiwaudhi watu na wakakutamkia ubaya, mabalaa yanakuandama! Yaani hata ukiamini na ukawatendea vema watumishi na wakakutamkia ya kheri kwa dhati, utabarikiwa!
Yote ya yote,toa kwa moyo upokee baraka!
Yote ya yote,toa kwa moyo upokee baraka!