Maelezo yako yanamashaka mashakaAmejitosheleza wala haitaji cjchote kutoka kwetu na akisema hvo umtolee ni ktk kukujaribu kama utafanya analotakaa. Na kwa imani yangu kumtolea huko ni ktk watu nao kufurahia mfno kwa kuwapa masikini, fukara yatima nk
Kwamba tumpe pesa munguDhahabu, mali na fedha vyote ni mali ya Mungu, na labda nyongeza ni kuwa, Mungu alifanya njia ya kupata baraka na laana kwa njia ya matendo binafsi ya mtu, kwamba ukitenda wema kwa watu wakakutamkia ya kheri, baraka I juu yako! Ukiwaudhi watu na wakakutamkia ubaya, mabalaa yanakuandama! Yaani hata ukiamini na ukawatendea vema watumishi na wakakutamkia ya kheri kwa dhati, utabarikiwa!
Yote ya yote,toa kwa moyo upokee baraka!
Basi wawe wazi kuwa tuwape wao sadaka sio kumpa Mungu,wanamsingizia Mungu bure,Wapo bize kueneza injili nani atawalisha.
Hivi mfano Padri akatafute vibarua Ili ale au ashinde njaa atafanyaje Kazi ya Mungu.Wao awatakiwi kufanya Kazi nje ya kueneza neno la Mungu muda wao wote yafaa wautumie kuponya roho za watu.
Dawa ni kutoa sadaka ile tu inayokuhusu. Mambo ya mtaa A mtaa B, fungu la kumi, shukrani ya wiki, ebenezer, sadaka ya sakrament, ahadi nakadhalika na kadhalika waachie wenyewe.Hapo ndipo mnapopigwa. Yeye anasindwaje kuwalisha hao watenda kazi wake mpaka watuombe sadaka kupitia jina lake na vitisho vingi?
Hizi ni formula za kidunia, dunia inaendeshwa na wajanja wachache ni ngumu sana kuishi nje ya formula yao.Kati ya Mungu na binadamu ni yupi ampe mwenzake pesa?
Lama ni Mungu ndio anatakiwa ampe binadamu pesa! Kwanini mnatuambia tumtolee Mungu pesa?
Maandiko ndo usema hivyo na Mkristo yeyeto anajua hayo.Basi wawe wazi kuwa tuwape wao sadaka sio kumpa Mungu,wanamsingizia Mungu bure,
Toa hiyo verseMaandiko ndo usema hivyo na Mkristo yeyeto anajua hayo.
Sadaka ni shukrani kwa Mungu baada ya kukujalia mema
Google sadaka utazipata link za kukutoshaToa hiyo verse
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mleta mada Mungu hana shida na pesa kwa kuwa kila kitu kimeumbwa naye hata mumeo ameumbwa naye.
Soma Zaburi 24:1
Hufai kuwa mtumishi,unawaambia waumini wagoogleGoogle sadaka utazipata link za kukutosha
Kuna sadaka ya kujimaliza yaani unatoa yote uliyonayo, wadada wengi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani.Kati ya Mungu na binadamu ni yupi ampe mwenzake pesa?
Lama ni Mungu ndio anatakiwa ampe binadamu pesa! Kwanini mnatuambia tumtolee Mungu pesa?
Sadaka ya kujimaliza ni ujambazi uliovuka mipaka.Kuna sadaka ya kujimaliza yaani unatoa yote uliyonayo, wadada wengi wanakosa nauli ya kurudi nyumbani.