Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls


Off-road ni off-road tu kaka
 
Magari haya yote ni over-engineered kwa nchi kama Tanzania. Ni ghali na pia hayafai kwa serious offroading. Pichani ni model ya Land Cruiser ambayo hukuhofia kwenda nayo kijijini na kupita pasipo barabara. Jaribu kufanya hivi na VX V8. Ukipasua bumper la plastiki itakugharimu milioni kadhaa kulirudishia (kama gari ni lako).

 
kaka wewe usiangalie bumper,angalia uwezo wa gari
 

mkuu wewe unanunua gari ili kupita sehemu kama hio???

cc: OLESAIDIMU MANI Bulldog
 
Last edited by a moderator:

Mkuu twende kote ila hapo kwenye RANGE ROVER lazima ukae na utulie kabisa mkuu, kuanzia , comfortability, Horce power, taking off, ni habari nyingine mkuu.
 

Umekopi bitu vingi sana lkn inaelekea haujaelewa point yangu! Nilichosema ni kwamba Range Rover second and third generation

View attachment 228979View attachment 228980

Zilikuwa Developed na BMW kuanzia design mpaka engine hivyo Ford walinunua tu Jina la Range Rover lakni Ford kama Ford hawakutengeneza Range Rover yoyote kati ya Second and third Generation, ni kama vile tu TATA wao wamenunua Hisa lkn siyo kwamba Engine ya Range Rover inatengenezwa na TATA!

Na ndiyo maana hizo range mbili hapo juu zina share engine moja na BMW X5 pmj luxury za BMW 7 Series!


Range Rover (L322) - Wikipedia, the free encyclopedia
 

ha ha naona unakwepa kivuli chako......haya mkuu jioni njema.
 
U.S. News Best Cars, sasa tuwekee na All terrain/Africa New Best Cars

terrain ya africa ipi?? wamiliki wa rr na landcruiser vx v8 wengi wanaishi mjini na wanatumia hayo magari muda mwingi hapa hapa/humu humu mjini sasa mimi huwa sioni hio sehemu ambayo land cruiser v8 itapita lakini rr isipite,kifupi hakuna!

hii habari ya vx ni gari ngumu ya porini ni kasumba tu wamiliki wengi wa hayo magari tunawaona mijini ndio maana siku hizi zinawekwa kila kitu ambacho utakikuta kwenye luxury executive saloon.
 

Really Mdau are u serius unaeza kufunga turbo kwny conventional engine iliotolewa na manufacturer. an jinsi unavyochanganya izi technical terms inaelekea elimu ulionayo ya magari ni ya mtaani sio technician. an kama suala langu la kwanza nilipokuask maana ya twin turbo. twin maana yake 2 so apo inamaanisha kuna turbo 2 ambazo zimefungwa kwa each exhaust manifold katika gari ambayo ina V-ENgine thus why inaitwa twin turbo kama ilivyo watoto mapacha(twin kids). an apa kwny hii text are u sure corolla unaeza ukafunga twin turbo au Supercharge. Ni vizuri ukitaka kuwa mtaalam wa kitu jitahid kusoma na kudadisi kwa undani elimu ya mtaani na kijiweni apa BONGO most of time ni Uzushi mwingi. Use google vizuri na ushinde gereji kma mafund u ll get priceless education abt cars
 
mimi huwa naona mmiliki gari anayeendeshwa kama waheshimiwa wanajua zaidi bei za magari na spea,dereva anajua utendaji kazi wa gari,fundi anajua zaidi mambo ya kiufundi ya gari...umeona umuhimu wa kujua uhusiano wa mleta posti na gari analosifia????
Mkuu tunatumia majina magumashi hapa ntashangaa sana kama unatarajia mtu akuwekee hayo unayotaka after all uzi ni technical zaid kuliko nani anamiliki nini we mkuu kama unataka kweli kujua who owns what, since when and how was it acquired mahala sahihi ni TRA labda sio JF!

Kama mie nimekuambia ni dereva hili jibu validity na reliability yake we una hakiki vipi??!!
Mi nadhani tumuachie mwenye uzi wake na wengine sie wapenda motors tujadili haya makitu!!!

Kama kuna umuhimu wa correlation between knowing and owning basi tuanzishe uzi wake tujimwaye huko ila hapa ni kama gari ya diesel kuijaza petrol!!!
 
Mkuu twende kote ila hapo kwenye RANGE ROVER lazima ukae na utulie kabisa mkuu, kuanzia , comfortability, Horce power, taking off, ni habari nyingine mkuu.

Hilo wala sijabisha ila i said clearly mimi range sijatumia hata km 10 tu na nilitoa hiyo comment kwa experience yangu tu. Nimeona nyingi sana tu za watu wa mbali na wa karibu features nyingi tu za kuvutia sana ukisoma ina mambo mengi tu including carl zeis featured lens kwa taa zake. . . .
. So technology imo sana tu. Rover type nimetumia sana 200tdi naijua vizuri ambayo ni mbali mno kwa RR lakini naweza project kuanzia hapo ila sikutaka kuwa muongo mkuu.

Najua ina sifa zake na heshima pia ila mimi siijui kaka mkubwa! !!!
 

Mkuu hebu nijuze kitu kaka, hivi kuna organization inaingiza gari machakani kuliko serikali???!!!
Why wanatumia sana Vx kuliko range hata kwa mawaziri japo??!!!
Kwa uelewa wangu mfupi Discovery 3&4 zina tuzo za off road sikumbuki tittle yake ila RR sijawahi sikia imeshinda hiyo maneno na Rover kama niko sahihi wanaitumia hiyo Discovery kutangaza durability ya hizo gari why not RR??!!
Unless "the best" iwe blind on context. . . . . Lakini kama ni context sensitive basi best yaweza kuwa Discovery . I stand to be enlightened
 
Kuna kitu Cadillac Escalade. Siijui sana kuhusu specifications zake lakini kwa muonekano dude la mmarekani linatisha kuliko V8 na RR
 
Off-road ni off-road tu kaka

Mkuu ukiambiwa off road ni off road kataa asee ndio maana kuna accessories za gari kwa ajili ya off road "ngumu" hizo zinazoitwa gari kwa ajili ya off raod mathalan Hilux new model 2.5G (??!!) kuna ambazo ukiitia kwenye tope radiator inajaa tooe vibaya kabisa inaweza hata kuchemsha. . . . . Ila kwenye vumbi na lami safi tu. . . . .Kuna off road zina ditches bonet inabaki pua tu ndio maana kuna "mkonga" unawekwa claener inapumulia usawa wa roof, gari inawekwa remote controlled winch kama itakalia diff. . . . .Off raod sio general term mkuu wangu ziko off road dume na jike nadhani
 

Google sasa uone corolla inaturbocharger ziko nyingi sana usifikili corolla inaengine moja! Kuna engine tofauti za corolla zinazosupport turbo system,ningekutajia hapa bt unaweza google hukaona alafu! Usipendeku underestiment watu kijana,tulia ule shule vizur,watafute hawa jamaa waitwa gear tech performance wapo kijitonyama wafungua turbo kwny magar so wapelekee gar watakwambia ni engine gan inaweza wekwa au kwmy iyo corolla na hukawekewa turbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…