Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Kwa mimi nahisi bei inaweza ikawa kikwazo.mfano uingeleza wanatumia range sport kwanzia royal family mpaka watumishi wa government na range huwezi ukalinganisha na gari zinazo undwa na Toyota au Nissan
wanatumia Range Rover ili kuonesha uzalendo wa gari zinazozalishwa na viwanda vya waingereza wenzao na ambavyo serikali ina hisa pia...sawa na marekani rais na watumishi kutumia MaCadilac au product za General Motors Corporations sawa na Japan pia wanavyotmia Toyota au ujerumani wanavyotumia BMW au Benz au Ufaransa wanavyotumia Citroen
 


Tatizo watu mmecremu kuwa benz ndiyo gari kali,hyo ndio shida sasa,kununuliwa na nani sijui,kutumia injini ya aina moja sijui,hakuiondolei SUV ya BMW kuwa na mvuto kuliko benzi,ni maoni yng tu mkuu
 

Kuna mshikaji wangu anaipenda sana discovery 3/4. Yupo radhi aibe ili anunue hii kitu.
 

Kuna siku tulikuwa tunaenda tanga kupitia hii njia ya pangani na hii pickup, tukafika maeneo ya mkata gari ikazama kwenye matope na kuziba kabisa radiator, ukiitaka kujinasua joto linapanda ghafla sana. Ilibidi tuwaobe Toyota TZ waje kuichukua gari wakaifanyie full service.
 

Shukraan Bulldog
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi umeipenda.

Mkuu mithread kama hii mi ndio ugonjwa wangu kabisa, ila kwa sasa level yangu na ninayopenda sana ni Subaru forester Sti 2500cc gear 6 mbele na ya saba ni reverse
Au Subaru impreza wrx sti turbo maximum speed 260 ikiwa imefungwa B.O.V inapiga tu chafya chaaaa...
 

Hio 2014 RR ikiingia kwenye dimbwi ndani inakuonyesha level ya maji ilimoingia....Kama ni hatari inakwambia,matairi kila moja linakuwa na power game tofauti kulingana na terrain yaani ni balaa ndio maana mi sioni sehemu ambayo hizi vx v8 zitapita RR isipite!hizo winch na air cleaner za juu ni optional gari yoyote unaweza kuweka
 

Ha ha haaaa Blow Off Valve. . . . .. .kweli unapenda gari
 

Mambo yenu vijana sisi wazee na Subaru tutsonekana tuna 'midlife crisis'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…