Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

MTU mzima kuremba gari mwisho tinted.....unajua wengi wanapuuzia lakini aina ya gari na mapambo Fulani Ina kudefine, Mimi siwezi kuendesha altezza au Subaru impreza au forester afadhali niendeshe BABY WALKER!!
Binadamu tunaona maisha lens tofauti sana. . . . yupo jamaa mzigoni pale ana Subaru kaifunga muffler mwenyewe anaiita "bundesliga" akiwa anakuja unamsikia basi akifika akaona watu wamempa attention ye roho kwaaatu!!
 
Duh Bundesliga so mchezo!!! Sipati picha moto wake..
 
Soweto Arusha? Nitakuja huko lazima siku nikiwa na safari ya home(Moshi) for now Niko huku kwenye jiji ambalo kila mtu anapenda rav4, brevis, macx...

Poa.......unakuja na impreza au Forester.......?.......
 
MTU mzima kuremba gari mwisho tinted.....unajua wengi wanapuuzia lakini aina ya gari na mapambo Fulani Ina kudefine, Mimi siwezi kuendesha altezza au Subaru impreza au forester afadhali niendeshe BABY WALKER!!

Sasa mbona nitakuja kukupokea nayo........?
 
Unaweza kununua na kuifanyia customization tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…