Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jumamosi tukutane. Soweto tuzipigishe chafya............
Binadamu tunaona maisha lens tofauti sana. . . . yupo jamaa mzigoni pale ana Subaru kaifunga muffler mwenyewe anaiita "bundesliga" akiwa anakuja unamsikia basi akifika akaona watu wamempa attention ye roho kwaaatu!!MTU mzima kuremba gari mwisho tinted.....unajua wengi wanapuuzia lakini aina ya gari na mapambo Fulani Ina kudefine, Mimi siwezi kuendesha altezza au Subaru impreza au forester afadhali niendeshe BABY WALKER!!
Kuna ile clip ya toyota vs jeep vs hammer umeiangalia ?
Preta ni fundi wa magari ngoja kwenye rally ya mwezi wa 3 Arusha nimweke msoma ramani.
Amarok inapiga chafya?
Binadamu tunaona maisha lens tofauti sana. . . . yupo jamaa mzigoni pale ana Subaru kaifunga muffler mwenyewe anaiita "bundesliga" akiwa anakuja unamsikia basi akifika akaona watu wamempa attention ye roho kwaaatu!!
Nitakupeleka chumba cha maonyesho ukachague mwenyewe....
Soweto Arusha? Nitakuja huko lazima siku nikiwa na safari ya home(Moshi) for now Niko huku kwenye jiji ambalo kila mtu anapenda rav4, brevis, macx...
Ikifikia zamu ya tunaosubiria ist za airtel unishtue
MTU mzima kuremba gari mwisho tinted.....unajua wengi wanapuuzia lakini aina ya gari na mapambo Fulani Ina kudefine, Mimi siwezi kuendesha altezza au Subaru impreza au forester afadhali niendeshe BABY WALKER!!
Sasa mbona nitakuja kukupokea nayo........?
sasa Honey Faith si itakuwa sawa na kusubiri ndege aiport?
Ongea hata na RRONDO afanye mchakato IST haiwezi kummshinda
Sasa mbona nitakuja kukupokea nayo........?
Poa.......unakuja na impreza au Forester.......?.......
Forester...
Poa........tukutane kwenye league.....
Mkuu mithread kama hii mi ndio ugonjwa wangu kabisa, ila kwa sasa level yangu na ninayopenda sana ni Subaru forester Sti 2500cc gear 6 mbele na ya saba ni reverse
Au Subaru impreza wrx sti turbo maximum speed 260 ikiwa imefungwa B.O.V inapiga tu chafya chaaaa...