Range Rover inaongoza ikifuatiwa na Land Cruiser VX V8 ya petrol. Nissan Patrol ni cha mtoto kwa hizo nyingine. Tatizo kubwa la Nissan Patrol ni kupoteza nguvu wakati wa kupanda mlima. Kiboko ya Nissan ni milima, yaani mpaka utaihurumia, haiendi kabisa.
Tiba
Range hunitoi hapo hiyo Evoque ni sheeder
Inaelekea unazifahamu sana
kwanini range rover haijabamba kisiasa????yaani haijakubalika kwa wanasiasa wengi bongo...huwa najiuliza sana
Naona kimtindo wameiiga VX V8. Si unaona morphology yake? Toyota wanatisha kwa kubuni muonekano Wa GARI aisee...
kwanini range rover haijabamba kisiasa????yaani haijakubalika kwa wanasiasa wengi bongo...huwa najiuliza sana
Toyota Land Cruiser 79,000$ MSRP
Range Rover 90,000$ MSRP
Nissan Patrol New Model 120,000$ MSRP
Japo bei inaweza isiwe kigezo.
Mkuu vipi???kuna chuma chochote cha mjerumani hapo ktk gari tajwa????Achana kabisa na chuma cha mjerumani
Ktk bandiko langu nimesema bongo....anyway hata kenya wanasiasa wanaotumia range rover wamezidi wa hayo menginePresident uhuru kenyatta anapenda sana range
Mkuu hebu tujuze maana ya MSRP ili tuelewe.
Hata hivyo kwa kawaida Toyota LC200 ina bei kubwa kuliko Nissan Patrol.
Range Rover tatizo lake kubwa ni kuharibika kwa electrical/electronic systems zake, na hapa nchini wengi wamelizwa.
Baki njia kuu, baki magari ya Kijapani.
Achana kabisa na chuma cha mjerumani
Range hunitoi hapo hiyo Evoque ni sheeder
Mkuu mbona Nissan ndio wanatisha kwenye kubuni gari kali? Sema tu sisi huku kwa sababu Toyota ndio zimejaa... Nissan ni habari nyingine