Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Mkuu kwenye body work nissan anazo nzuri.

Come on! Ile patrol mpya yenye shepu kama demu flat screen! Mkuu kwenye design and technology HAMNA SUV ya kufananisha na RR. BMW na BENZ wanasogea kidogo ila mjapani kaachwa mbali Sana!
 

Turbocharger na supercharger zote sawa tuu(forced induction) tofauti turbo inaendeshwa na moshi wa exhaust wakati supercharger inaendeshwa na belt iliyounganishwa na engine.
 
We mshamba unafananisha V8 na V6? Unajua horsepower nini kwanza ?

Nilijua MTU Kama wewe utakuja tu! Kuna siku nilikuwa nasafiri na rafiki yangu Ana discovery 4 3.0tdv6 hio vx v8 tulikuwa tunaipita tukiamua tena kwenye mlima inabaki inatoa moshi tu! Kuna mahali tulisimama jamaa wa vx akauliza hii discovery v8 akaambiwa no v6 hakuamini! BTW horse power sio mbio vinginevyo kuna vitu zaidi ya horse power! Magari ya F1 yote yana power saw a lakini Kama unafuatilia gari ya Hamilton ilikuwa haishikiki!
 
haya ndo mambo ninayoyapenda kwenye JF, MODs jukwaa la magari vipi hamuoni wadau walivyo wengi?
 
Turbocharger na supercharger zote sawa tuu(forced induction) tofauti turbo inaendeshwa na moshi wa exhaust wakati supercharger inaendeshwa na belt iliyounganishwa na engine.

Correct...ingawa turbo charger huwa Ina lag kidogo before kicking wakati supercharger Ina kick immediately,ila function in moja
 
Range ndio gari yangu ya ndoto,hayo mengine madebe tu kwangu

Ngoja mwaya nije tulale.........tunaweza kuota range na hiyo kilimo kwanza..........

wahenga walisema........ndoto mbili si sawa na moja...............
 
Hii kwangu ni the best topic kwa wiki hii...sichoki kusoma comment za wataalam hapa, endeleeni kutupa utaalam hadi mfike page ya 500, sijui sana technological issues kwenye haya magari...Toyota, Nissan, Range rover na Benz wote wana SUV Kali sana, Benz wana SUV matata sana ila hapa bongo zipo chache sana unaweza ukazihesabu zote
 

Mkuu magari hayauziki kwa faida labda uchane spare parts ukitaka huge ROI wekeza kwenye Real Estate
 
hahahahahah! umenifurahisha! kwaiyo unapima nguvu ya gari kwasababu ililipita ulivyokuwa unasafiri!nyinyi ndio mnasemaga basi fulani linakimbia sana kuliko lingine kwasababu 2lilipita tulipokuwa tunasafiri! unapima gari kama linakimbia kwa kucheki accelation yake kutoka 0-100km/h. SASA CHEKI ACCELATION ZA IYO DISCOVARY 4 YAKO NA LAND CRUISER
DISCOVARY 4 (2013) 3.0 TDV6 0-100Km/h ni 9.60sec WAKATI LAND CRUISER VX V8 (2013) 0-100Km/h ni 8.4sec.
 
Mkuu magari hayauziki kwa faida labda uchane spare parts ukitaka huge ROI wekeza kwenye Real Estate

Ni kweli mkuu hayo ni kama cm ila kwa wale wafanya biashara haya magari faida huonekana kwenye kushow off, utaletewa deal nyingi sana coz watz wengi huamini mtu mwenye mkoko wa ghali ni tajiri na cash ipo 24/7
 

hahahahahah! umenifurahisha! kwaiyo unapima nguvu ya gari kwasababu ililipita ulivyokuwa unasafiri!nyinyi ndio mnasemaga basi fulani linakimbia sana kuliko lingine kwasababu 2lilipita tulipokuwa tunasafiri! unapima gari kama linakimbia kwa kucheki accelation yake kutoka 0-100km/h. SASA CHEKI ACCELATION ZA IYO DISCOVARY 4 YAKO NA LAND CRUISER
DISCOVARY 4 (2013) 3.0 TDV6 0-100Km/h ni 9.60sec WAKATI LAND CRUISER VX V8 (2013) 0-100Km/h ni 8.4sec. acha story za zamani za kitoto
 

Kaka grafani kuna wakati inabidi ujue dunia ya mbele inafananaje. Kujadili kuhusu magari sio lazima umiliki. Nimeleta humu nijue mawazo ya wengine hasa kwenye haya magari. Kuna sehem jana nlipita nikaona Nissan Patrol hii new model nikajiuliza inamaana hii ndo best kuliko RR? VX? Nikasema ngoja nilete hii mada humu nione mawazo ya wengine.

Na pia kujadili kitu haimaanishi lazima ukimiliki, unaweza siku "ukaokota" hela ukasema na mimi ngoja nivute RR yangu kulingana na mchango wa wana JF.

Jf inasaidia sana kaka, i'm here to learn and explore the world.
 
mkuu haya mavitu tuwaachie wenye ka escrow, siye zetu dl dl na bd bd.
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya european cars and japanese cars, and the difference will always remain there, hata leo hii kaendeshe Range Rover old model zn uje uendesh new model ya mjapan zn compare the comfortability, mzungu anaheshimu sana quality ya gari kuliko quantity of sales.
 

Mkuu wewe unajua ninakukubali, tatizo ni baadhi ya vijana wako walianza kutoleana maneno makali. Ndiyo na mimi nikawapa angalizo dogo tu.
Ukisoma comment yangu ya kwanza na zilizofuatia utaona nilikuwa nalenga nini. Kikubwa ni kuelimishana na si kutoa maneno kama 'wewe mjinga'. Kuna mdau alitoa neno hilo...
 

rrondo nakuunga mkono..kuwa v8 or v6 cyo sababu ya moja kwa moja..kuna additional accessories engine tuneups zinaweza fanya hata gari ya cylinder nne kuwa balaa kuliko v8...cheki nissan gtr35 a v6 car ila hamna v8 toyota ya kuisumbua kwenye normal road
 
yaani hata mm nimneshangaa mkuu wangu

hapo tuitoe Range rover kisha tushindanishe Nissan na toyota V 8 ambapo V8 itampita kwa mbali Nissan...RR mambo mengine kabisa

Kuna sehemu nilisoma wanasema RR ndo the fastest SUV in the world. Inazizidi sports cars nyingi sana.
RRONDO
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…