Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Humu ndani kuna watu wamehama kwenye mada badala ya kuchambua kitaalamu wameanza kutolea wengine maneno makali, wengine wanaita magari ya kijapan ya watoto kuendea shule nk.
Aliyesema gari ya kijapani ni ya watoto kuendea shule, nilitoa option yangu, choices zangu na kusema kwa sisi Waafrika, Watanzania tukiwemo, tunatumia gari za Japan not by choice but by option tuu kuwa if you can't get want you want, you just take what you get!, nikimaanisha kuna wengi wetu tungependa kuendesha RR, BMW na Benz, lakini hali zetu za uchumi na umasikini wetu, hauruhusu, hivyo tunajikuta we have no option kwenye affordability zaidi ya kukimbilia japanese, they are cheaper tu get, cheper to maintain ingawa pia ni easily disposable!.

Kuna wenzetu ambao uchumi wao unawaruhusu kumiliki RR, BMW, na Benz, lakini wame opt for Japanese by choice, ndio hao unashuhudia choices zao ziko costly kuliko hata hizo RR, BMW na Benz!, its all matter of choice na sio dharau!.

By the way, mimi mtoa mada namiliki bd bd!, most of the times usafiri wangu ni dl dl na TZ 11!.

Pasco
 

Pamoja kaka mkubwa. . . shukran
 

Nimekupata kaka.

Kwenye mada yeyote lazima kuna wanaoharibu. Tuachane nao, tusongeshe. Tupeane maujanja. Ili siku "tukiokota" tukazivute fasta
 
Toyota Land Cruiser 79,000$ MSRP

Range Rover 90,000$ MSRP

Nissan Patrol New Model 120,000$ MSRP

Japo bei inaweza isiwe kigezo.

Mkuu Bulldog Sasa mbona hujatuletea pic za akina Landrover D3 & D4 Pamoja na bei?Au zenyewe hazitishi sana?wengine tukiiona barabarani twataka kuzimia!!
 
Mkuu Bulldog Sasa mbona hujatuletea pic za akina Landrover D3 & D4 Pamoja na bei?Au zenyewe hazitishi sana?wengine tukiiona barabarani twataka kuzimia!!

Zinatisha sana na zimeshinda awards za kutosha tu (sikumbuki tittle) ila baba yao Range akishakaa wao wanasubiri mbaali kabisa!!!

Ngoja waje wataalamu wa Rover ila nasikia kwa rough road kwa maana ya rough Discovery ndio chata kwa rover. . . . . . .
 

Mkuu naomba nikuulize, hapo kwenye ACCELATION, SUBARU WRX ikoje? Samahani lakini?
 

Mimi sina hata baiskeli, ila nimeganda kwenye huu uzi nakula nondo.
 
Sijawahi ipenda hummer, sijui utendaji kazi wake upande wa injini ukoje, ila muonekano wake kwangu ni turn off.
Kwa umbo hazivutii ila wanafanya customization ndani zinakuwa kali sana tu, niliongea na mmiliki mmoja anasema yake ni Piston tano ila ina power ya ajabu sana haswa kwenye mazingira magumu anayo pia X5 ila kwa mujibu wake anasema Hummer ni mashine kuliko gari

RRONDO, t blj
 
Last edited by a moderator:
Mi nikija okota hela Nissan wamenibamba sana angalia jiko hiloo !!View attachment 228490

Jamaa yangu hilo jiko la V8 5.6 haliwezi sogelea kabisa jiko la Kilimo kwanza
popote itakapopita VX-V8 Petrol hakuna mnyama atafuata kunusa vumbi au kuona hata taa zake iwe offroad au onroad
kwani ina Horsepower kubwa na Torque kubwa bado barabarani linatulia na ulifukuzapo kwa vigari km RR au NISSAN mzunguko wako wa injini (RPM) utakuonesha injini inavyoumia na humsogelei labda VX-V8 ATAKE MWENYEWE
 
Reactions: mk4

Mdau wa Jukwaa ni vizuri kudeeal na facts kulko mahaba yasio na justifiable facts. Sitatumia sana energy kupangua claim zako kua Land cruiser ni bora Kulko Range rover as it seems tayari una ur own conclusion huitaji facts au kukubali reality. By the way what is ur known definition kati ya turbocharge na twin turbo? unajua maana ya the word TWIN.
 
kwanini range rover haijabamba kisiasa????yaani haijakubalika kwa wanasiasa wengi bongo...huwa najiuliza sana

Range Rover wanasiasa wanaiogopa sana kutokana na Spea zake kuwa ghali sana pia mafundi wengi huwa wanapata shida kuzitengeneza pindi zikiharibika, lakini Toyota Vx zina mafundi wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…