Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Range Rover wanasiasa wanaiogopa sana kutokana na Spea zake kuwa ghali sana pia mafundi wengi huwa wanapata shida kuzitengeneza pindi zikiharibika, lakini Toyota Vx zina mafundi wengi.
Mkuu naomba nikuulize, hapo kwenye ACCELATION, SUBARU WRX ikoje? Samahani lakini?
kwenye kuboost at a starting Subaru ipo juu kwani katika 100Kph inaondoka ndani ya seconds 4.9 au 5.0 sec2010 Subaru Impreza WRX STI Special Edition Wagon Compare Car
0-60 mph 5.0 | Quarter mile 13.4
2011 Subaru Impreza WRX STI tS Sedan Compare Car
0-60 mph 4.8 | Quarter mile 13.2
2011 Subaru Impreza WRX STI Sedan Compare Car
0-60 mph 4.9 | Quarter mile 13.3
2011 Subaru Impreza WRX STI Limited Edition Sedan Compare Car
0-60 mph 5.2 | Quarter mile 13.7
2011 Subaru Impreza WRX Premium Package Sedan Compare Car
0-60 mph 4.9 | Quarter mile 13.5
Rene Jr. Mkuu huku huonekani? member wamehama GX tusaidie Range Rover, VX-V8, NISSAN na magari ya SUV lipi bora km Bulldog anavyouliza, kiubora Horsepower, Torque, speed, comfortability, Durability etcMdau wa Jukwaa ni vizuri kudeeal na facts kulko mahaba yasio na justifiable facts. Sitatumia sana energy kupangua claim zako kua Land cruiser ni bora Kulko Range rover as it seems tayari una ur own conclusion huitaji facts au kukubali reality. By the way what is ur known definition kati ya turbocharge na twin turbo? unajua maana ya the word TWIN.
Sijatumia Range ila Nissan na Vx nimeendesha. . . . . .VX iachwe iitwe VX!!!
Power, Grip, Take off yake pia ni hatari, braking system ni poa sana na inashika haswaa na haiyumbi upon braking, milimani ni kama uko tambarare. . . . .Ingawa kwa Nissan wana toleo la 4.5 petrol nayo si haba kwa mpambano wa speed!!!
My money on VX
kwan huwa mnaendeshea speed gani na ktk barabara zip jamani
Gx100 ndio mwisho wa matattizo
Gx100 ndio mwisho wa matattizo
Mdau wa Jukwaa ni vizuri kudeeal na facts kulko mahaba yasio na justifiable facts. Sitatumia sana energy kupangua claim zako kua Land cruiser ni bora Kulko Range rover as it seems tayari una ur own conclusion huitaji facts au kukubali reality. By the way what is ur known definition kati ya turbocharge na twin turbo? unajua maana ya the word TWIN.