Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Kati ya Nissan Patrol vs Toyota VX vs Range Rover: Ipi ni the best SUV? Maoni pls

Hilo gari Mkuu acha tu,manufacturer kakomesha mbaya,ukija kwenye VOGUE kisu,SPORT ndio usintanie kabisa,ndio maana hata masuperstar mbele wanapush mandinga haya, na brand zingine kama HUMMER,LAMBOGRIN,BUGGATI,etc,huwakuti wakipush mi-land cruiser aisee


Hata Arabic nation zenye nguvu kifedha ni wachache sana wanatumia m-land cruiser all most wanatumia kama range rover,buggati,Ferrari etc
 
Gari ngumu na imara ni hii, landcruiser 1hzj78r/79r mengine yote magumashi.
 

Attachments

  • 1424677713558.jpg
    1424677713558.jpg
    52.3 KB · Views: 189
Unafanya vizuri mdau kula uhondo tu, baadhi yao badala ya kula uhondo walianza kuwatukana wengine..


Anaye tunakana anakuwa hana logic ya maada nzima afu ana panic point zake zinavyo kuwa zinajibiwa kitaalam
 
mkuu me sidhani...nissan anajitahidi ila toyota kamzidi.. nissan ambayo imetisha so far ni nissan gtr35 ila cheki vitu ka toyota ft1 design ni hatari

Inawezekana mkuu ila mimi Nissan nawakubali sana hata saloon cars zao nyingi ni matata sana na bei juu sema tu Toyota wameshika zaidi na ni affordable kwa wengi wetu..
 
Hilo gari Mkuu acha tu,manufacturer kakomesha mbaya,ukija kwenye VOGUE kisu,SPORT ndio usintanie kabisa,ndio maana hata masuperstar mbele wanapush mandinga haya, na brand zingine kama HUMMER,LAMBOGRIN,BUGGATI,etc,huwakuti wakipush mi-land cruiser aisee

Kwaiyo gari ikiendeshwa na masuperstar ndio nzur? Wanzungu wanapenda magari yao ukienda marekani utaona master wao wanasifia mistang,ford,chervort na hammer lakin ukienda ungereza na ulaya utaona bentle, mercedes, lambo,bmw na audi! Kila mtu anavutia upande wake,huwezi sikia mcheza mpira wa ulaya ananunua hammer au mustang kwani si magari mzur? Ukienda arabic country land cruiser ndio gar inayotumika sana kuzidi gari lingine as same to asia na afrika so usitumie kigezo cha.master na kusema ndio gari nzur, weka hoja tuone nasio unaongea 2
 
wakuu...itapendeza sana kama mtu akishamaliza kuisifia gari anayoiamini amalizie pointi zake kwa kuelezea uhusiano alionao na gari husika...mfano...sifia gari hiyo gari weeee mwisho sema...mimi ninayo range rover ya kwangu....mwingine aseme....vx v8 kiboko bana..mimi ni dereva wa mheshimiwa flani....mwingine aseme...nakuambia hakuna kama nissan patrol...mimi ni fundi gereji wa dt dobie.... maana kuna wengine wanasifia vitu kwa kuviona rodini kama mimi! sawa jamani?haya twende kazini sasa:smile-big::smile-big::smile-big:

Ha ha hahaaaa umeua . . . . .mie dereva bana kutoa bandarini mpaka nchi zisizo na bandari. . . . Manailoni ya kwenye viti yananifahamu kwa jina
 
that thing is DAMN UGLY[my opinion].....haina chochote kizuri,big engine lakini very slow ukifananisha na SUV nyingine, bad handling like a tank! in short kama hujui gari ndio utanunua HUMMER!!!!!
Your opinion, sure!!
The secret behind kutumika jeshini ni ugumu au endurance??!!
 
Back
Top Bottom