Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mchezaji gani Bora haitwi kwenye timu ya Taifa lake asa kwenye michuano ya kimataifa au Ndugu yangu Hujui kuwa mchezaji kuchezea Timu yake Taifa inamuongezea CV na thamani asa ukitaka kumuza kwenye mpira wa Dunia Simba imetoa mchezaji kacheza mechi Hadi ya Nusu fainali ya Africon unakuja kusema eti pacome ni mchezaji bora kuliko wachezaji wote wa Simba Mchezaji wako hajui ata Africon inafananaje unakuja mlinganisha na Wachezaji wa SimbaAcha kumfananisha Profesa wa mpira na huo uchafu wenu. Pacome mmoja ni sawa tu na wachezaji wote wa simba, pamoja na benchi lao lote la ufundi.
Mkuu samaleko, pole sana kwa maumivu makali uliyapata 😬😬Acha kumfananisha Profesa wa mpira na huo uchafu wenu. Pacome mmoja ni sawa tu na wachezaji wote wa simba, pamoja na benchi lao lote la ufundi.
hii inanikumbusha jinsi battle ya chama na shekhan ilivyopamba moto...hatari sanaHawa wataingia kwenye msuguano mkubwa sana. Huyu dogo Chasambi wa Mkia na Pacome wa Yanga.
Hawa ni level moja kabisa, tuone tu Chasambi atakuwa na matches ngapi kuja lingana na Pacome.
Wewe kilaza sana. Utakuwa sijui mkia. Tunazungumzia Chasambi na Pacome. Wewe unaleta habari za Chama. Huyo habari zake zilishamalizwa na Injia Hersi alishasema. Sasa unakurupuka kama ulikuwa unanii unatoka tu na nanii mkononi... Ukiwa unatokwa na povu sehemu zako zote 5 za uwazi.Ni mjinga tu ndo anayeweza kumfananisha Pacome na Chama.
Hata mashabiki wenyewe wa simba ukiwaekea kati ya Pacome na Chama wachague mmoja ki uhalisia hawawezi kumchagua Chama.
Pacome kila mechi anapafomu yupo katika kiwango bora kabisa.
Chama baada ya mechi ya jana ndo wanaanza kumfananisha na Pacome, kwanini isiwe mechi za nyuma?
Kwasasa huwezi kumfaninisha Chama na Pacome.
Ni kumuonea tu Chama.
Mengine yatabaki kuwa ushabiki
Mtu akiona jina la Tate Mkuu anaweza sema ni la mtu aliyezaliwa angalau miaka ya 90 kushuka chini. Kumbe ni kizazi cha kikuete. 😃Acha kumfananisha Profesa wa mpira na huo uchafu wenu. Pacome mmoja ni sawa tu na wachezaji wote wa simba, pamoja na benchi lao lote la ufundi.
Oooh... Kumbe ndo maana. Ulimpatia maumivu makali? Siku nyingine usimpatie maumivuMkuu samaleko, pole sana kwa maumivu makali uliyapata 😬😬
Mtu anajiita chizi maarifa halafu utarajie hoja ya maana!Wewe kilaza sana. Utakuwa sijui mkia. Tunazungumzia Chasambi na Pacome. Wewe unaleta habari za Chama. Huyo habari zake zilishamalizwa na Injia Hersi alishasema. Sasa unakurupuka kama ulikuwa unanii unatoka tu na nanii mkononi... Ukiwa unatokwa na povu sehemu zako zote 5 za uwazi.
Jina lako linatafakarisha sana.Mtu akiona jina la Tate Mkuu anaweza sema ni la mtu aliyezaliwa angalau miaka ya 90 kushuka chini. Kumbe ni kizazi cha kikuete. 😃
Mzee unatumia nguvu kubwa kujiaminishaNi mjinga tu ndo anayeweza kumfananisha Pacome na Chama.
Hata mashabiki wenyewe wa simba ukiwaekea kati ya Pacome na Chama wachague mmoja ki uhalisia hawawezi kumchagua Chama.
Pacome kila mechi anapafomu yupo katika kiwango bora kabisa.
Chama baada ya mechi ya jana ndo wanaanza kumfananisha na Pacome, kwanini isiwe mechi za nyuma?
Kwasasa huwezi kumfaninisha Chama na Pacome.
Ni kumuonea tu Chama.
Mengine yatabaki kuwa ushabiki
Wewe kilaza sana. Utakuwa sijui mkia. Tunazungumzia Chasambi na Pacome. Wewe unaleta habari za Chama. Huyo habari zake zilishamalizwa na Injia Hersi alishasema. Sasa unakurupuka kama ulikuwa unanii unatoka tu na nanii mkononi... Ukiwa unatokwa na povu sehemu zako zote 5 za uwazi.Mtu anajiita chizi maarifa halafu utarajie hoja ya maana!
Utakuwa kichaa.
By the way jina lako tu linatosha kufanya mtu akupuuze achilia mbali ku make any constructive argument with you.
SanaaJina lako linatafakarisha sana.
Jina lako linatafakarisha sana.
HILI NDIYO TATIZO LA KUCHAMBIA UPUPU