hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Natumia nguvu gani?Mzee unatumia nguvu kubwa kujiaminisha
Kwani Chama na Pacome wanacheza mpira chumbani kwako kiasi kwamba unawaona peke yako tu?
Mpira ni mchezo wa wazi.
Mambo anayofanya Pacome kila mtu anayaona na kuyafahamu.
Pacome mpaka sasa CAFCL ana goli 3 na assist mbili.
Je chama ana goli na assist ngapi?
Unafikiri Pacome kuingia kwenye kikosi cha wiki cha CAFCL kwa zaidi ya mara tatu wamempendelea na hawakumuona Chama?
Ukiwa mwanasoka lazima ukubali ukweli kwamba kwa sasa Pacome ni bora kuliko Chama.