Kati ya Pacome na Chasambi ni vita kali sana

Mzee unatumia nguvu kubwa kujiaminisha
Natumia nguvu gani?

Kwani Chama na Pacome wanacheza mpira chumbani kwako kiasi kwamba unawaona peke yako tu?

Mpira ni mchezo wa wazi.

Mambo anayofanya Pacome kila mtu anayaona na kuyafahamu.

Pacome mpaka sasa CAFCL ana goli 3 na assist mbili.

Je chama ana goli na assist ngapi?

Unafikiri Pacome kuingia kwenye kikosi cha wiki cha CAFCL kwa zaidi ya mara tatu wamempendelea na hawakumuona Chama?

Ukiwa mwanasoka lazima ukubali ukweli kwamba kwa sasa Pacome ni bora kuliko Chama.
 
ORODHA YA WACHEZAJI WALIOFANANISHWA NA CHAMA.

1. HARUNA NYONZIMA.
2. SAODO NTIBAZONKIZA.
3. FEISAL SALUM.
4. AZIZI KI STEPHEN.
5. MAX NZEGELI.
6. PAKOME ZIZUUU.
7.....
8........
100
 
Pacome mechi 6 goli 3
Onana mechi 1 goli 2
 
Ayubu amewahi kuitwa timu ya Taifa?

Cc Aden Rage
 
Hakuna vita Hapo,Chama amemuacha Pacome mbali sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…