Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Kati ya Rutto na Raila nani ni mkalenjin na nani ni mjaluo[emoji23][emoji23][emoji23]Ruto!
wote ni wakenyaKati ya Rutto na Raila nani ni mkalenjin na nani ni mjaluo[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna "wakenya", mkifanya hivyo mtakua mnawaiga watanzania," Kenya mnajulikana na kutajana kwa makabila yenu, huyu mkikuyu, huyu mjaluo, huyu mnandi"(Julius Nyerere)wote ni wakenya
Daaaa bas kaz ipo badoKenya rais hachaguliwi bali mtu hupewa urais.
Ingekua sanduku la kura linaamua urais Raila angekuwa rais kipindi cha Kibaki.
RUTO
Huyu hapendwi na matajiri wa Kenya na sababu kuu ni hii;
a) Wanasema ni Dikteta
b) Mtu wa visasi
c) Matajiri wanahofu kuwa uwekezaji wao hauko salama hadi Uhuru anahofu Ruto akichukua anaweza kumtia kashikashi kuhusu itajiri na uwekezaji wa familia yake.
RAILA
1. Wanasema ni mvumilivu na hana tamaa
2. Wanasema ni mzalendo kwani mara kadhaa amekubali maridhiano
3. Wanasema mpeni mzee hata muhula mmoja.
Huu ni utafiti wangu mdogo nilipokuwa Nairobi
MK254
Naona wagombea wenza nao wanaweza amua muelekeo utaendajeKwa maoni yangu 'run-off', yaani round 2 kwenye kura ya urais haitaepukika. Maanake sioni uwezekano wa mgombea yeyote yule kukidhi vigezo, sanasana kile cha kuongoza kwa kura nyingi, kwenye gatuzi 25 kati ya zote 47. Kwa kumuunga mkono mpinzani wake Raila, Rais Uhuru amezivuruga kweli kweli, zile ambazo zilikuwa zinasemekana kwamba ni ngome za wanasiasa flani.
Hadi sasa hivi mimi bado nipo, pale ambapo huwa wanasema kwa kimombo, 'on the fence'. Bado sijafikia maamuzi kamili kuhusu ni nani haswa ambaye nitamuunga mkono kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha urais.
Muda utaongea naona miez inazid karibiaRaila aisee... numbers zinambeba za maeneo, supports wakubwa wako nyuma yake wakiongozwa na Uhuru,wanasiasa nguli, magoveners, etc. Ukiangalia cyle ya Rutto haina wanasiasa wengi wenye ushawishi..Raila ana uhakika, ukambani, western kwao na Mombasa .kikuyu central Kenya pia imeonyesha Hana suppoters wengi kutokana na idadi finyu ya walijitokeza wa chama chake kwenye kura za maoni .so Rutto kabakiza kwao tu kalenjin...sidhani kama Rutto anaweza mwangusha Raila kiurahisi..it's hard kwake
MakabilaRaila aisee... numbers zinambeba za maeneo, supports wakubwa wako nyuma yake wakiongozwa na Uhuru,wanasiasa nguli, magoveners, etc. Ukiangalia cyle ya Rutto haina wanasiasa wengi wenye ushawishi..Raila ana uhakika, ukambani, western kwao na Mombasa .kikuyu central Kenya pia imeonyesha Hana suppoters wengi kutokana na idadi finyu ya walijitokeza wa chama chake kwenye kura za maoni .so Rutto kabakiza kwao tu kalenjin...sidhani kama Rutto anaweza mwangusha Raila kiurahisi..it's hard kwake
Huu ndio ukabila nilikuambia, yaani mnatafuta viongozi kwa misingi ya kabila lake, kweli Kenya ni "failed state"Kitu hamjui Western Kenya ndio ilikuwa biggest voters wa Raila sasa naona Raila akipata 20%Western Ruto-80%,pia Ukambani ilimpigi last time kura 80%this time Raila-50%Ruto50%!
Riftvalley-90%[emoji298][emoji108]
Sababu Kenya Kwanza Coalition ya Ruto inaonekana watachukua
DP wao akuwe Mudavadi-wa western,
Partychairman wa UDA-Muthama-wa Ukambani,
Interiour Security-anaweza kutoka Mount Kenya[emoji362]My thought labda watachukua Jimmy Kibaki\Mtoto wa Kibaki-Mount Kenya[emoji298]ili wampokonye kutoka azimio,remember even Kibakis family hawampendi Raila even his own grandson alikataa kumsalimia Raila alipomnyooshea mkono wake,ata Jimmy Kibaki alipotoa speech yake alimsalimia na kumpokea DP Ruto vizuri sana[emoji362]
Nairobi Gorvernor-Sakaja-kutoka Western
Nairobi Senator-Bishop Wanjiru-Kutoka Mount Kenya
Nairobi Women Rep-Millicent Omanga-Kutoka Nyanza
Cabinet,Gorvenment ministries and other Sits zitagawanywa kwa all the other tribes[emoji736]
Baaaaaas[emoji41]Ruto ashachukua kituuuuuuh!!!!
Nayo Coast imemkataa Raila*Chama cha PAA kinachoongozwa na Kingi kinataka kujitoa Azimio coalition kiingie UDA,Aisha Jumwa\Mama simba wa Coast mkono wake umehusikana apo[emoji362]
Nayo uko turkana,Kwa waislamu uko juu,Na kwa Maasai uko chini,mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Ruto Toshaaaaaah!!!!
ukabila and thats us na hatufichi,not like you who munatawaliwa na CCM ya Waskuma wiki kwa nguvu na ukiongea kidogo unapigwa marisasi kama tundu lissu ama unaekelewa unahujumu uchumi!Huu ndio ukabila nilikuambia, yaani mnatafuta viongozi kwa misingi ya kabila lake, kweli Kenya ni "failed state"
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unaona ufahari Kenya kuendekeza ukabila kwasababu ukabila upo sehemu nyingi Africa?ukabila and thats us na hatufichi,not like you who munatawaliwa na CCM ya Waskuma wiki kwa nguvu na ukiongea kidogo unapigwa marisasi kama tundu lissu ama unaekelewa unahujumu uchumi!
Ata Ukabila is everywhere in the world and all of Afrika![emoji108]
Western ni ya Raila,Ruto hapewi western n'go. Na usichokijua Ida Odinga ni mluhya western moja,so wajaka na waluhya huitana mashemeji.Kitu hamjui Western Kenya ndio ilikuwa biggest voters wa Raila sasa naona Raila akipata 20%Western Ruto-80%,pia Ukambani ilimpigi last time kura 80%this time Raila-50%Ruto50%!
Riftvalley-90%⚡👌
Sababu Kenya Kwanza Coalition ya Ruto inaonekana watachukua
DP wao akuwe Mudavadi-wa western,
Partychairman wa UDA-Muthama-wa Ukambani,
Interiour Security-anaweza kutoka Mount Kenya💡My thought labda watachukua Jimmy Kibaki\Mtoto wa Kibaki-Mount Kenya⚡ili wampokonye kutoka azimio,remember even Kibakis family hawampendi Raila even his own grandson alikataa kumsalimia Raila alipomnyooshea mkono wake,ata Jimmy Kibaki alipotoa speech yake alimsalimia na kumpokea DP Ruto vizuri sana💡
Nairobi Gorvernor-Sakaja-kutoka Western
Nairobi Senator-Bishop Wanjiru-Kutoka Mount Kenya
Nairobi Women Rep-Millicent Omanga-Kutoka Nyanza
Cabinet,Gorvenment ministries and other Sits zitagawanywa kwa all the other tribes✅
Baaaaaas😎Ruto ashachukua kituuuuuuh!!!!
Nayo Coast imemkataa Raila*Chama cha PAA kinachoongozwa na Kingi kinataka kujitoa Azimio coalition kiingie UDA,Aisha Jumwa\Mama simba wa Coast mkono wake umehusikana apo💡
Nayo uko turkana,Kwa waislamu uko juu,Na kwa Maasai uko chini,mambo ni 🔥🔥🔥🔥Ruto Toshaaaaaah!!!!