joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Unapozungumza au kuandika kitu kumbuka kwamba watu wengi wanasoma, Kuna watu wenye akili zaidi yako, weka ushahidi kwamba Kenya imeizidi Tanzania katika Demokrasia, katika ukanda huu Tanzania inaongoza kwa Demokrasia, ushahidi huu hapaSiasa ya Kenya ya ajabu sana, ukabila ndio unaamua nani awe rais wa Kenya, japokuwa kidemokrasia wakenya wametuacha mbali sana sisi watanzania lakini misingi ya demokrasia yao imepakwa Ukabila mtupu.
Kama kuna mahali watanzania tuliwahi kukosea pakubwa katika siasa zetu, basi ni 2015 tulipolazimishiwa Magufuli awe rais wetu. Magufuli sio tu aliiua kabisa Demokrasia ya Tanzania, bali iliizika kabisa Demokrasia yetu na hapo akapandikiza siasa za kikabila za kule Kenya.
Democracy Countries 2024
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app