Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Update zipoje huko kenya
Ahahaha kaz ipo bas lkn wakenya nawaamin suala tu haki utendeke na si vinginevyoKwenye tume ya uchaguzi wameanza kuteuliwa pro Ruto sasa na chebukati ndio mfuasi wa UDA kabisa naona uhuru na Ruto waliamua kumchezea mzee wa kitendawili
Mzee Baba umemaliza Kila kituMimi huwa sipo kwenye ushabiki wa Wanasiasa. Ubongo wangu upo sober kupokea na kuchuja.
Kwenye siasa hata saa moja inaweza kuleta tofauti kubwa.
Nani alijua hata baada ya mateso na kuwekwa kizuizini na Moi, Raila angeungana naye
Nani alijua hata baada ya mauaji ya 2007 baada ya uchaguzi Uhuru na Ruto wangeungana kumkabili Raila wakati Ruto alikuwa sehemu ya tuhuma za kuchochea mauaji aki-instigate Wakalenjin dhidi ya Kikuyu
Nani alijua Uhuru na Raila wangeungana baada ya Raila kushindwa uchaguzi na Uhuru na yeye kujitangaza Rais
Haya mambo ukiwa makini utajua ni class flani zinapigania maslahi yao na familia zao. Hakuna cha hustler wala Baba tosha. So better relax, watch and analyse
Rutto rais ajae nisuala la muda tuu.Kitu hamjui Western Kenya ndio ilikuwa biggest voters wa Raila sasa naona Raila akipata 20%Western Ruto-80%,pia Ukambani ilimpigi last time kura 80%this time Raila-50%Ruto50%!
Riftvalley-90%[emoji298][emoji108]
Sababu Kenya Kwanza Coalition ya Ruto inaonekana watachukua
DP wao akuwe Mudavadi-wa western,
Partychairman wa UDA-Muthama-wa Ukambani,
Interiour Security-anaweza kutoka Mount Kenya[emoji362]My thought labda watachukua Jimmy Kibaki\Mtoto wa Kibaki-Mount Kenya[emoji298]ili wampokonye kutoka azimio,remember even Kibakis family hawampendi Raila even his own grandson alikataa kumsalimia Raila alipomnyooshea mkono wake,ata Jimmy Kibaki alipotoa speech yake alimsalimia na kumpokea DP Ruto vizuri sana[emoji362]
Nairobi Gorvernor-Sakaja-kutoka Western
Nairobi Senator-Bishop Wanjiru-Kutoka Mount Kenya
Nairobi Women Rep-Millicent Omanga-Kutoka Nyanza
Cabinet,Gorvenment ministries and other Sits zitagawanywa kwa all the other tribes[emoji736]
Baaaaaas[emoji41]Ruto ashachukua kituuuuuuh!!!!
Nayo Coast imemkataa Raila*Chama cha PAA kinachoongozwa na Kingi kinataka kujitoa Azimio coalition kiingie UDA,Aisha Jumwa\Mama simba wa Coast mkono wake umehusikana apo[emoji362]
Nayo uko turkana,Kwa waislamu uko juu,Na kwa Maasai uko chini,mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Ruto Toshaaaaaah!!!!
What are the first and second.?Mkale ni short form ya"Kalenjin"
The third biggest tribe in Kenya where a man known as William Ruto our fifth Prezo comes from![emoji108]
Mkuu, upo sawa by 100%, siasa za Afrika ni siasa za kujitafutia maslahi binafsi hasa Kenya. Ukimsikiliza PLO huwa anasema mara nyingi tu kwamba Kenya hakuna vyama vya siasa vye "ideology" Kama ilivyo CCM Tanzania, na ANC huko South Africa, Kenya ni mkusanyiko wa watu wenye maslahi Yao maalum, hayo maslahi yakimalizika na chama nacho kinakufa.Mimi huwa sipo kwenye ushabiki wa Wanasiasa. Ubongo wangu upo sober kupokea na kuchuja.
Kwenye siasa hata saa moja inaweza kuleta tofauti kubwa.
Nani alijua hata baada ya mateso na kuwekwa kizuizini na Moi, Raila angeungana naye
Nani alijua hata baada ya mauaji ya 2007 baada ya uchaguzi Uhuru na Ruto wangeungana kumkabili Raila wakati Ruto alikuwa sehemu ya tuhuma za kuchochea mauaji aki-instigate Wakalenjin dhidi ya Kikuyu
Nani alijua Uhuru na Raila wangeungana baada ya Raila kushindwa uchaguzi na Uhuru na yeye kujitangaza Rais
Haya mambo ukiwa makini utajua ni class flani zinapigania maslahi yao na familia zao. Hakuna cha hustler wala Baba tosha. So better relax, watch and analyse
Kikuyu and jaluo I guess.What are the first and second.?
Fisadi huyoo!! Hapo wamempora Prof Kindiki. Raila angemchukua Peter Munya wazoe kura zote za Mount Kenya EastListening to Rigathi Gachagua right now, DP Ruto's running mate.
Seems like one smart guy.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ruto needs the mountain than Raila!!It's hard to pretend not seeing that there exists huge ethnic differences in Kenya.
Whoever get's control of Mount Kenya will win the election.
There's trouble boiling in Kenya Kwanza with DP Ruto's choice of a running mate.
There's trouble too in Azimio, some allies want Kalonzo to be running for presidency and not Raila.
We can only wait and see.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema wamempora Kindiki, he led on polls.Fisadi huyoo!! Hapo wamempora Prof Kindiki. Raila angemchukua Peter Munya wazoe kura zote za Mount Kenya East
Hahah, nice conclusionRuto needs the mountain than Raila!!
Miaka yote Raila anapata 45% bila kura za central!! So hata akipata kura 10% za Wakikuyu or wameru basi kazi imeisha!!
Kwenye primaries tuliona turn out ya Wakikuyu ikiwa chini sana, huwezi ona mkikuyu apige kura wakati hawana mgombea so turn out ikiwa less than 70% basi Raila presidency is unstoppable.
Otherwise hata Ruto akishinda deep state itaiba tu kwa favor ya Raila, kweli Matiangi na Kenyatta wampishe Rutto ikulu?? Not the Africa I know