Kenya rais hachaguliwi bali mtu hupewa urais.
Ingekua sanduku la kura linaamua urais Raila angekuwa rais kipindi cha Kibaki.
RUTO
Huyu hapendwi na matajiri wa Kenya na sababu kuu ni hii;
a) Wanasema ni Dikteta
b) Mtu wa visasi
c) Matajiri wanahofu kuwa uwekezaji wao hauko salama hadi Uhuru anahofu Ruto akichukua anaweza kumtia kashikashi kuhusu itajiri na uwekezaji wa familia yake.
RAILA
1. Wanasema ni mvumilivu na hana tamaa
2. Wanasema ni mzalendo kwani mara kadhaa amekubali maridhiano
3. Wanasema mpeni mzee hata muhula mmoja.
Huu ni utafiti wangu mdogo nilipokuwa Nairobi
MK254