25 May 2022
Uasin-Gishu County
Bonde la Ufa / Rift Valley
UDA wafunga Mkataba na wananchi kuwa kuanzia 9 August 2022, viongozi ni watumishi wa wananchi na siyo kinyume chake. UDA Kenya Kwanza na kuwa maneno itoke chini kwenda juu badala ya ile ya zamani, kuwa ilikuwa maneno inatoka juu kwenda chini. UDA inapindua mambo hiyo kwa kusikiliza maoni ya wananchi. Hivyo wananchi wawaambie watumishi wao wafanye nini badala ya viongozi kuwaambia wananchi maneno. Watu wa mashinani sasa ndiyo wanaendesha kampeni kwa kupanda jukwaani na kuwaambia viongozi za UDA nini wanataka serikali ifanye.
The United Democratic Alliance is a Kenyan political party. The party, initially called Party of Development and Reforms, officially changed its name to UDA in December 2020. The party became notable in January 2021, and is linked to politicians allied to Dr. William Ruto, the sitting Deputy President of Kenya.
Source : United Democratic Alliance – kazi ni kazi
Kenya Kwanza has split their campaign team into three groups for easy movement as the coalition running mate Rigathi Gachagua also embarks on a charm offensive to woo Mt Kenya MPs, some of who voted against his nomination as running mate.