Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
- Thread starter
- #81
KaruaJe Martha Murua anaweza badili upepo na kumpa kick kubwa Raila au ndo kaburi la Raila?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaruaJe Martha Murua anaweza badili upepo na kumpa kick kubwa Raila au ndo kaburi la Raila?
Nao kalonzo kaamua kujitoa mhanga, whether he'll force a re-run or join Azimio after campaigns heat-up it's yet to be seen.. but things are more interesting nowHahah, nice conclusion
I wonder who will be Raila's choice of a running mate, Je ni Kalonzo Musyoka? Jamaa naye anautaka urais, naona asipochaguliwa kama running mate ataleta shida.
Or will it be Martha Karua? Kenya nayo itarukia bandwagon ya Gender equality? [emoji23] Ipate vice president mwanamke
We can only wait and see
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaweza kama atatumia kelele za feminism (1st female VP) na uadilifu/Hapendi ujinga (JPM type) pia kama Uhuru Kenyatta atapita chumba kwa chumba kama alivyoahidi anaweza walau kubeba 30% ya kura za Wakikuyu hivyo kumuangusha Ruto ambaye anategemea kura za Wakikuyu na kalenjin kuingia IkuluJe Martha Murua anaweza badili upepo na kumpa kick kubwa Raila au ndo kaburi la Raila?
Kwa hiyo DP Ruto anafanya mazoezi kabisa ya kupora 😄🤣Sema wamempora Kindiki, he led on polls.
Ruto ikabidi achague anayemtaka yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Porojo za kikabila hizi. Mbona structure ya jamii ya 'Gikuyu' ni 'matriachal' tangu jadi, kama tu ile ya kiyahudi? Koo zote za wakikuyu(nyumba ya Mumbi) zina majina ya wanawake walioanzisha koo hizo. Almaarufu kama mabinti tisa wa Gikuyu na Mumbi(Adamu na Hawa wa kikikuyu).Martha hana ubaya ila mkikuyu hawezi ongozwa na mwanamke
Hahaha!Kwa hiyo DP Ruto anafanya mazoezi kabisa ya kupora [emoji1][emoji1787]
Porojo za kikabila hizi. Mbona structure ya jamii ya 'Gikuyu' ni 'matriachal' tangu jadi, kama tu ile ya wayahudi? Koo zote za wakikuyu(nyumba ya Mumbi) zina majina ya wanawake walioanzisha koo hizo. Almaarufu kama mabinti tisa wa Gikuyu na Mumbi(Adamu na Hawa wa kikikuyu).
Kati ya viongozi mashuhuri waliotawala ukikuyuni, kabla ya ujio wa mkoloni. Kulikuwepo na mwanamke ambaye alikuwa mtata zaidi ya wote, aliitwa Wangu Wa Makeri.
Sijasema kwamba simchagui, wala sijasema kwamba nitamchagua RAO. Ila hayo yote hayahusiani na hizo porojo za kikabila, ambazo unajaribu kueneza. Alafu ukute hata hiyo kadi ya kupigia kura huna.Acha matharao chaguaruto
Naona mda unakimbia kwa kas na mambo mengi yanazid kujitokezaHahaha!
Naona hivyo mkuu, Kindiki hajataka shari kama Kalonzo, yeye amekubali matokeo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri umuunge mkono RutoKwa maoni yangu 'run-off', yaani round 2 kwenye kura ya urais haitaepukika. Maanake sioni uwezekano wa mgombea yeyote yule kukidhi vigezo, sanasana kile cha kuongoza kwa kura nyingi, kwenye gatuzi 25 kati ya zote 47. Kwa kumuunga mkono mpinzani wake Raila, Rais Uhuru amezivuruga kweli kweli, zile ambazo zilikuwa zinasemekana kwamba ni ngome za wanasiasa flani.
Hadi sasa hivi mimi bado nipo, pale ambapo huwa wanasema kwa kimombo, 'on the fence'. Bado sijafikia maamuzi kamili kuhusu ni nani haswa ambaye nitamuunga mkono kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha urais.
Ni ukweli mimi sina kadi ya kupigia kura,... lakini nikiwa na kitambulisho pekee nitapiga kura ama sitapiga?Sijasema kwamba simchagui, wala sijasema kwamba nitamchagua RAO. Ila hayo yote hayahusiani na hizo porojo za kikabila, ambazo unajaribu kueneza. Alafu ukute hata hiyo kadi ya kupigia kura huna.
Utajua mwenyewe, ila koma kabisa kuendeleza porojo za kikabila. Huo upuuzi hauna nafasi kwenye dunia ya sasa.Ni ukweli mimi sina kadi ya kupigia kura,... lakini nikiwa na kitambulisho pekee nitapiga kura ama sitapiga?
Nimekusikia lakini huko kenya Ukabila umekuwepo kwa miaka mingi.Utajua mwenyewe, ila koma kabisa kuendeleza porojo za kikabila. Huo upuuzi hauna nafasi kwenye dunia ya sasa.
Utakuwa Mkikuyu wewe😂Kwa maoni yangu 'run-off', yaani round 2 kwenye kura ya urais haitaepukika. Maanake sioni uwezekano wa mgombea yeyote yule kukidhi vigezo, sanasana kile cha kuongoza kwa kura nyingi, kwenye gatuzi 25 kati ya zote 47. Kwa kumuunga mkono mpinzani wake Raila, Rais Uhuru amezivuruga kweli kweli, zile ambazo zilikuwa zinasemekana kwamba ni ngome za wanasiasa flani.
Hadi sasa hivi mimi bado nipo, pale ambapo huwa wanasema kwa kimombo, 'on the fence'. Bado sijafikia maamuzi kamili kuhusu ni nani haswa ambaye nitamuunga mkono kwenye kinyang'anyiro cha kiti cha urais.
Kwasababu nangoja kusikiza hoja kutoka pande zote ili niweze kufanya maamuzi yangu kwa busara? Ila ni kweli kwamba mimi ni mkikuyu.Utakuwa Mkikuyu wewe😂
Achana na genge la ruto kapigisha shoti uchumi afu akatoka nje kumfanya uhuru aonekane mbayaKwasababu nangoja kusikiza hoja kutoka pande zote ili niweze kufanya maamuzi yangu kwa busara? Ila ni kweli kwamba mimi ni mkikuyu.
Options haziishi kwao hao wanasiasa wawili, wala kambi zao. Kunao wengine wengi ambao wanafaa zaidi. Ingekuwa ninazo nguvu za kuwazuia wagombee nafasi hiyo, sasa hivi wote wangekuwa kwao mashinani wakicheza checkers.Achana na genge la ruto kapigisha shoti uchumi afu akatoka nje kumfanya uhuru aonekane mbaya
Chagua tikiti ya watu wa kuaminika
Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app