Kenya 2022 Kati ya Raila Odinga na William Ruto - nani yuko juu hadi sasa?

Kenya 2022 General Election
25 May 2022
Uasin-Gishu County
Bonde la Ufa / Rift Valley

UDA wafunga Mkataba na wananchi kuwa kuanzia 9 August 2022, viongozi ni watumishi wa wananchi na siyo kinyume chake. UDA Kenya Kwanza na kuwa maneno itoke chini kwenda juu badala ya ile ya zamani, kuwa ilikuwa maneno inatoka juu kwenda chini. UDA inapindua mambo hiyo kwa kusikiliza maoni ya wananchi. Hivyo wananchi wawaambie watumishi wao wafanye nini badala ya viongozi kuwaambia wananchi maneno. Watu wa mashinani sasa ndiyo wanaendesha kampeni kwa kupanda jukwaani na kuwaambia viongozi za UDA nini wanataka serikali ifanye.


The United Democratic Alliance is a Kenyan political party. The party, initially called Party of Development and Reforms, officially changed its name to UDA in December 2020. The party became notable in January 2021, and is linked to politicians allied to Dr. William Ruto, the sitting Deputy President of Kenya.

Source : United Democratic Alliance – kazi ni kazi

Kenya Kwanza has split their campaign team into three groups for easy movement as the coalition running mate Rigathi Gachagua also embarks on a charm offensive to woo Mt Kenya MPs, some of who voted against his nomination as running mate.
 
AZIMIO
Hon.Raila Odinga meeting with leaders in Vihiga County

Azimio la Umoja One Kenya Coalition that is supporting Raila Odinga for presidency has crafted at least 16 regional campaign teams to take the battle for vote-hunting in every corner of the country for a win. Mr Odinga is expected to unveil the team tomorrow before they can hit the campaign trail.
“The teams were finalised last night (Friday). They are being invited to meet the candidate (Mr Odinga) on Monday before the structure is made public,” said a source.
 
Francis Atwoli kiongozi wa Federation ya wafanyakazi amuunga mkono Raila Odinga kuwa atosha

 
Nairobi, Kenya

Joto la uchaguzi lazidi kupamba moto nchini Kenya asema leo tarehe 26 May 2022 Mh. Rais Kenyatta

Wewe RUTO tutaonana uko mbele," UHURU to his Deputy​


 
27 May 2022
Kilifi

BREAKING; RUTO in Kilifi again meeting Thousands of Hustlers LIVE NOW!


 
27 May 2022

Garissa

Mgombe mwenza wa Azimio Martha Karua ahudhuria hafla ya wanawake Garissa


Ni maadhimisho ya miaka 70 ya Maendeleo ya Wanawake Karua atumia fursa kuomba kura kaunti ya Garissa
 
Nakupinga kwa hili.
2002 hayati moi alitaka kumpa Uhuru nchi lakini kwenye uchaguzi ule Kibaki akashinda chini ya kampeni manager wake brigedia,general, marshal field,lutenant raila amolo odinga.
 
Wampe Raila urais hata muhula m1 tyuuh, km akikosa safari hii bas aache siasa, afanye mambo mengine tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
03 June 2022
Nairobi, Kenya

Kalonzo Musyoka wa chama cha Wiper arudi na kujisalimisha kwa Baba

Kalonzo Musyoka aweka kando azma yake ya kuwania kiti cha urais na kumuunga mkono Raila Odinga
 
ukabila and thats us na hatufichi,not like you who munatawaliwa na CCM ya Waskuma wiki kwa nguvu na ukiongea kidogo unapigwa marisasi kama tundu lissu ama unaekelewa unahujumu uchumi!
Ata Ukabila is everywhere in the world and all of Afrika!👌
Ni ujinga sana kuwa proud na ukabila
 
4 June 2022

LIVE: Kenya Kwanza Campaigns in Kamukunji, serikali ya ma hustlers ipo mbioni kuingia Ikulu tarehe 9 August 2022 kupitia debe ya kura

 
Katika vyote ninavyopenda kwa Ruto ni kukenua meno tu. Sijawapi kumwona katika picha yoyote au video yoyote akiwa hakukenua meno; halafu ni meupe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…