Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Bro kuna kale ka wimbo sjui ndo wanaita visingeli, NIMEKUTANA NA EX WANGU KAKONDA 'MBWA YULE' ulimaanisha hivyo? AhahahahhaJibu hoja mbwa wewe
Kwamba alikuwa anahonga wajumbe?JPM alikuwa na akili ya kijanja janja sana. Aligundua ni vigumu sana kuwadanganya/ kuteka akili ya watu wengi kwa pamoja, alichokifanya kwa sababu alikuwa na agenda zake za Siri ili aweze kupitisha maamuzi yake kwenye halmashauri kuu ni rahisi sana kufanikiwa ukiwa na wajumbe 150 kuliko wakiwa 300. Ni rahisi kuhonga wajumbe 80 kati ya 150 kuliko wajumbe 160 kati ya 300. Tena baada ya kuwapunguza akaanza kuchagua watu wake mf mtoto wa pinda, makongoro Nyerere nk. JPM alikuwa na mikakati yake tushukuru tu Mungu ni wa huruma
Reading your articles between the lines. Thumb up.Huyo daktari aliyetokewa yeye alikuwa na integrity yeyote? Mbona unaangalia upande moja tu wa coin? Kwa ubinafsi ule wa wafanyakazi wa sekta ya umma, uzembe, uvivu na ubadhirifu uliochagizwa na rushwa kila mahali, ungerekebishaje hizo attitudes? Ofcourse kuna ma sycophants ambao wali take advantage, but in general dhamira yake ilikuwa imelenga nini? Watanzania tujifunze kuwa critical na open minded...Sisi siyo honest wala hatupo objective tunapenda sana mob psychology!
Kwani Gwajima hafufui watu?Acha kukufuru!
Aisee matusi ya nini, kwani Gwajima hafufui watu?Jibu hoja mbwa wewe
Watu mnaoandika KISWANGLISH huwa ninawadharau mno. Mnatia kinyaaMimi moja wao...I was proud of chama changu, hivi sasa nakiteteaje kwa mfano?
Infact before, sikuwahi kuwa mwanachama wa chama cha siasa japo nimezaliwa na waasisi wa chama. I did join the party actively because of the expectations I had, ya maendeleo ya kweli ya nchi na watu wake na siyo yale ya mwanzo ya kisiasa na yasiyo na economic values wala hayakuleta spcial gains zenye impacts kwa jamii pana zaidi ya individuals tena wenyewe wakiwa wanabadilika kila wanapoachia nafasi nakubakiwa kuwa fukara hata miradi yao kufa; hata sasa bado sijakata tamaa but will never bless what is not right, my integrity goes first before anything else!
As for me sincerely, JPM aliniathiri sana in person kwa maendeleo ya carrier yangu kupitia wapambe wake ambao wali take advantage ya kuaminiwa (few ambao to me are just sycophants) na pia kuvuruga biashara zangu nyingi tu; yet I had nothing in person na nilikubali kwa moyo moja bila kisasi wala grudge kwakua alionyesha kubeba national agenda, ambayo ni muhimu kuliko my personal gains....Sasa hivi gharama yote ile naibebaje kisha eti nisi simame kuusema ukweli?
Mungu na asimame kuona dhamira yangu, I wont compromise my integrity a minute for material gains!
Na kwasababu hiyo ninaujasiri sana wa kumwendea Mungu na kumwambia look here God, do what is unexpected and righteous, naye atajibu hakika, very sure indeed, this wont last long kabla Mungu hajatu reward tuliobeba gharama za kweli kwa taifa letu!
Johnny Sack wewe ni sehemu ya wapumbavu mliotemwa na JPM!Johnny Sack post: 44681522, member: 410952"]Itabidi tukaongee na Gwajima amfufue
Mama anaenda na upepo tu hana umakini wala haangalii tija. Yeye ni wale ulaji ndio lengo. Magufuli aliondoa watendaji au tuseme waajiriwa ccm wasihudhurie vikao na kupiga kura ila wawakilishi tu ndio wahudhurie vikao na kuweza kupiga kura.Hayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
Yule kichaa alikua muoga wa kuwa challengedHayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
Punguani mkuwa wakati wa chizi hakuna wa kumshika shurubu chiziCCM ya JPM ilikuwa imara kwa sababu watu wallipenda toka moyoni. Heshima ilikuwepo kwa wenye nacho na wasionacho.
Ukitaka kujua waulize wauza kadi na wauza sare za chama.
Wakati wa JP watu walijivunia chama.
Waliunda umoja bila shuruti!
Lakini sasa hivi kimekuwa ni chama cha mammbuzi, yanakula tu kwa urefu wa kamba!
Watu waliipenda kutoka moyoni? Kwa kipimo kipi hicho? Hawa watu ndio mbuzi sads hivi au waliletwa wengine?CCM ya JPM ilikuwa imara kwa sababu watu wallipenda toka moyoni. Heshima ilikuwepo kwa wenye nacho na wasionacho.
Ukitaka kujua waulize wauza kadi na wauza sare za chama.
Wakati wa JP watu walijivunia chama.
Waliunda umoja bila shuruti!
Lakini sasa hivi kimekuwa ni chama cha mammbuzi, yanakula tu kwa urefu wa kamba!
Ninachojua CCM ni chama ambacho kiko flexible kujihuisha kutokana na nyakati ndiyo maana kiko strong. Ni lazima ukubali mabadiliko na uende na nyakati vinginevyo mabadiliko yatakusomba. #JPM was right kwa alichokifanya kwa analysis ya wakati wake anachukua Chama na Mhe. Rais Dk. Samia yuko sahihi, kwa wakati na analysis ya kitaasisi katika kuendesha Chama. πππHayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
Uzushi na uzandiki mpelekee mamakoEnzi za Dkt Magufuli wajumbe wa NEC na Kamati kuu walikuwa bata balaa. Sasa hivi Rais Samia hawamuelewi kabisa. Kibaya kabisa kibaya kuna vijanaa vinamzunguka Rais Samia
Kuwafanyia mbaya wajumbe ndiyo Maana JK alitoa ile kauli. Kwa ufupi Rais Samia 2025 kama ana chake basi ni 25% maana wajumbe wapo mguu pande wakisubiri muda wowote kumtosa. Na siku akitoswa aisee Rais Samia atatukanwa zaidi kuliko kiongozi yeyote kuwahi kutokea. Anachopaswa kufanya sasa ni kuzia matusi kwa Dkt Magufuli na vijembe, yaani kadri anavyoendeleza vijembe ndiyo anazidi kujiumbua. Huwezi kusema eti wajumbe walikuwa hawashirikishwi kutembelea miradi hahahaha so shameful sijui nani kamuandalia hiyo hotuba na waliomfanyia hivyo ni hao wabaya wake wakiwa na lengo la kumfanya aonekane Rais Samia hajui.
Vijana wa sasa hivi hawajui CCM imetoka wapi, iko wapi na inaelekea wapi.Hayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
Uimara wa ccm unaupimaje wewe?Samia amerudi enzi ya Kikwete, Magufuli aliondoka enzi ya Kikwete.
CCM ya Kikwete na CCM ya Magufuli ipi ilikuwa imara zaidi?? Jibu unalo mwenyewe.