Mr Lukwaro
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 359
- 629
Mtoa mada msimamo wangu ni kama wa huyu mchangiajisimba timu zote ameshacheza nazo anazifahamu vizuri ila yanga hakuna hata timu moja aliyowahi kucheza nayo hivyo yanga ndo ana kundi gumu
Rejea upya kumbukumbu zako.simba timu zote ameshacheza nazo anazifahamu vizuri ila yanga hakuna hata timu moja aliyowahi kucheza nayo hivyo yanga ndo ana kundi gumu
Una maanisha nini mkuu? Hivi Simba na Mamelod walitokaje?simba timu zote ameshacheza nazo anazifahamu vizuri ila yanga hakuna hata timu moja aliyowahi kucheza nayo hivyo yanga ndo ana kundi gumu
Yanga mwenyewe pia kwenye kundi hilo ni mgumu na huenda ndiye anaongoza kwa ugumu.simba timu zote ameshacheza nazo anazifahamu vizuri ila yanga hakuna hata timu moja aliyowahi kucheza nayo hivyo yanga ndo ana kundi gumu
Tukirudia tulichofanya Shirikisho katika Klabu Bingwa mtabaki na kichaka Gani!?Yanga ana wakati mgumu sana. Sababu kuu ni miaka 25, na nyingine ni kujiamini wakati uzoefu ni 0.
Rekodi hazicheziYanga mwenyewe pia kwenye kundi hilo ni mgumu na huenda ndiye anaongoza kwa ugumu.
Record hizi ni za mechi za Premia league na mashindano ya CAF mdimu huu, kabla ya mechi zilizochezwa hapo jana.
1.
View attachment 2775321
2.
View attachment 2775322
3.
View attachment 2775323
Goup la Simba
1.
View attachment 2775331
2.
View attachment 2775332
3.
View attachment 2775333
Siye hatuna Cha home Wala awayWote waliopangwa na Simba hawalali wanawazia kwa mkapa machinjioni wakati waliopangwa na yanga wanalala na hawana hofu na machinjio ya mkapa
Zinawekwa na wanaocheza, ndiyo maana nimetumia record za msimu huu tu ambazo zinaelezea uwezo wa tumu katika kuziweka hizo recordsRekodi hazichezi
Ni kweli Jwaneng Galaxy anapajua kwa MkapaWote waliopangwa na Simba hawalali wanawazia kwa mkapa machinjioni wakati waliopangwa na yanga wanalala na hawana hofu na machinjio ya mkapa
Mawazo finyu.simba timu zote ameshacheza nazo anazifahamu vizuri ila yanga hakuna hata timu moja aliyowahi kucheza nayo hivyo yanga ndo ana kundi gumu
SecondedMawazo finyu.
Vikosi vinabadilika. Juwaneng iliyomtoa Simba siyo ya Sasa hivi na Wydad pia imebadilika na itabadiluka dirisha dogo. Hata Yanga anaweza kuchukua striker wa milioni 70 kwa mwezi kwa mkataba wa mwaka moja, Simba nae hivyohivyo.
Sasa hivi utasikia Yanga kaingia ushamini wa 2bn akatumia kununua striker. Siku hizi hata timu za Tanzania zinaogopewa kwa sababu Kuna mashabiki wengi na mashabiki huvutia uwekezaji. Usishamgae mchina akaweka mzigo wa kufanya mtu watu wakachukua vyombo December.