Kati ya Simba na Yanga ni nani amepangiwa kundi gumu Klabu Bingwa?

Kundi La Yanga halina Ugumu kbs,

Linaeleweka Vizuri tu....

Vibonde Wawili watabaki na timu kubwa mbili zitapita....

Ugumu unatokea Wapi hapo.?
 
Dirisha dogo safari hii halitakuwa na msaada sana kwa kuwa mechi nyingi za makundi zitakuwa zimeshachezwa wakati Linafunguliwa....

Kwaio hao hao waliopo kina Skudubela kwa Yanga na kina Ayoub kwa Simba ndo Wakutegemewa kuzivusha timu...!

Ukweli japo mchungu...
 
Facts
 
Tukirudia tulichofanya Shirikisho katika Klabu Bingwa mtabaki na kichaka Gani!?

Ahaaaa
labda nikueleze kwamba bingwa wa shirikisho aliyekufunga fainali hayupo klabu bingwa. Nadhani utaelewa sasa kwamba kuna tofauti ya confederation na champions. Yanga watafungwa mechi tano na kudroo moja ya medeama. Yanga mtapata point 1 tu kwa mechi zote 6. WEKA AKIBA HII COMMENT.
 
Hakuna mwenye kundi gumu wala jepesi.
Uwepesi na ugumu utaletwa na timu husika.
Ukitaka kundi liwe gumu litakuwa gumu.
Ukitaka kundi liwe jepesi litakuwa jepesi.
All in all malengo ni kufuzu hatua inayofuata haijalishi katika hali gani
 
Dirisha dogo safari hii halitakuwa na msaada sana kwa kuwa mechi nyingi za makundi zitakuwa zimeshachezwa wakati Linafunguliwa....

Kwaio hao hao waliopo kina Skudubela kwa Yanga na kina Ayoub kwa Simba ndo Wakutegemewa kuzivusha timu...!

Ukweli japo mchungu...
Mpaka dirisha dogo linafunguliwa timu zitakuwa zimebakiza Mechi 3.
 
Dirisha dogo safari hii halitakuwa na msaada sana kwa kuwa mechi nyingi za makundi zitakuwa zimeshachezwa wakati Linafunguliwa....

Kwaio hao hao waliopo kina Skudubela kwa Yanga na kina Ayoub kwa Simba ndo Wakutegemewa kuzivusha timu...!

Ukweli japo mchungu...
Likfunguliwa tarehe 1 December, litakuwa limemiss mechi moja ya tarehe 25.
Ukimsajili kwenye system mchezaji unatumia mechi ya pili au ya tatu na unachohitaji ni 9 points za nyumbani.
 
View attachment 2775279Ni siku kadhaa sasa zimepita tangu drow ya Makundi kutoka.

Baada ya Club zetu mbili za Hapa Tanzania kuvuka katika hatua hiyo ya muendelezo katika Ligi ya Club bingwa Barani Africa (CAF)

Hebu mdau wa soka nambie ni Club gani, imepangwa Kundi gumu ? Toa sababu Hata moja Please [emoji3531][emoji3531] vs [emoji172][emoji169]
Hakuna kundi gumu Wala jepesi group stage, ubora, ulivyojipanga na bahati pia vitakubeba.

Ukizubaa kila mechi utapata surprise!

Hakuna mrahisi humo!
 
View attachment 2775279Ni siku kadhaa sasa zimepita tangu drow ya Makundi kutoka.

Baada ya Club zetu mbili za Hapa Tanzania kuvuka katika hatua hiyo ya muendelezo katika Ligi ya Club bingwa Barani Africa (CAF)

Hebu mdau wa soka nambie ni Club gani, imepangwa Kundi gumu ? Toa sababu Hata moja Please [emoji3531][emoji3531] vs [emoji172][emoji169]
Kawaulize CAF. Usitupe shida sisi
 
labda nikueleze kwamba bingwa wa shirikisho aliyekufunga fainali hayupo klabu bingwa. Nadhani utaelewa sasa kwamba kuna tofauti ya confederation na champions. Yanga watafungwa mechi tano na kudroo moja ya medeama. Yanga mtapata point 1 tu kwa mechi zote 6. WEKA AKIBA HII COMMENT.
Ikawaje boss wangu?
 
Hapo tayari usha kula kuku wa mtu, waganga bana
 
Back
Top Bottom