kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
FactsDirisha dogo safari hii halitakuwa na msaada sana kwa kuwa mechi nyingi za makundi zitakuwa zimeshachezwa wakati Linafunguliwa....
Kwaio hao hao waliopo kina Skudubela kwa Yanga na kina Ayoub kwa Simba ndo Wakutegemewa kuzivusha timu...!
Ukweli japo mchungu...
labda nikueleze kwamba bingwa wa shirikisho aliyekufunga fainali hayupo klabu bingwa. Nadhani utaelewa sasa kwamba kuna tofauti ya confederation na champions. Yanga watafungwa mechi tano na kudroo moja ya medeama. Yanga mtapata point 1 tu kwa mechi zote 6. WEKA AKIBA HII COMMENT.Tukirudia tulichofanya Shirikisho katika Klabu Bingwa mtabaki na kichaka Gani!?
Ahaaaa
Mpaka dirisha dogo linafunguliwa timu zitakuwa zimebakiza Mechi 3.Dirisha dogo safari hii halitakuwa na msaada sana kwa kuwa mechi nyingi za makundi zitakuwa zimeshachezwa wakati Linafunguliwa....
Kwaio hao hao waliopo kina Skudubela kwa Yanga na kina Ayoub kwa Simba ndo Wakutegemewa kuzivusha timu...!
Ukweli japo mchungu...
Likfunguliwa tarehe 1 December, litakuwa limemiss mechi moja ya tarehe 25.Dirisha dogo safari hii halitakuwa na msaada sana kwa kuwa mechi nyingi za makundi zitakuwa zimeshachezwa wakati Linafunguliwa....
Kwaio hao hao waliopo kina Skudubela kwa Yanga na kina Ayoub kwa Simba ndo Wakutegemewa kuzivusha timu...!
Ukweli japo mchungu...
Hakuna kundi gumu Wala jepesi group stage, ubora, ulivyojipanga na bahati pia vitakubeba.View attachment 2775279Ni siku kadhaa sasa zimepita tangu drow ya Makundi kutoka.
Baada ya Club zetu mbili za Hapa Tanzania kuvuka katika hatua hiyo ya muendelezo katika Ligi ya Club bingwa Barani Africa (CAF)
Hebu mdau wa soka nambie ni Club gani, imepangwa Kundi gumu ? Toa sababu Hata moja Please [emoji3531][emoji3531] vs [emoji172][emoji169]
Kawaulize CAF. Usitupe shida sisiView attachment 2775279Ni siku kadhaa sasa zimepita tangu drow ya Makundi kutoka.
Baada ya Club zetu mbili za Hapa Tanzania kuvuka katika hatua hiyo ya muendelezo katika Ligi ya Club bingwa Barani Africa (CAF)
Hebu mdau wa soka nambie ni Club gani, imepangwa Kundi gumu ? Toa sababu Hata moja Please [emoji3531][emoji3531] vs [emoji172][emoji169]
Fanyeni sasaTukirudia tulichofanya Shirikisho katika Klabu Bingwa mtabaki na kichaka Gani!?
Ahaaaa
Ulijuonea tulivyoanza?Fanyeni sasa
Ikawaje boss wangu?labda nikueleze kwamba bingwa wa shirikisho aliyekufunga fainali hayupo klabu bingwa. Nadhani utaelewa sasa kwamba kuna tofauti ya confederation na champions. Yanga watafungwa mechi tano na kudroo moja ya medeama. Yanga mtapata point 1 tu kwa mechi zote 6. WEKA AKIBA HII COMMENT.
Hapo tayari usha kula kuku wa mtu, waganga banalabda nikueleze kwamba bingwa wa shirikisho aliyekufunga fainali hayupo klabu bingwa. Nadhani utaelewa sasa kwamba kuna tofauti ya confederation na champions. Yanga watafungwa mechi tano na kudroo moja ya medeama. Yanga mtapata point 1 tu kwa mechi zote 6. WEKA AKIBA HII COMMENT.