Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu hali ishakuwa tete,, mnafanyaje kuwakwepa hawa wapiga mizinga wanaoamini wao tu ndo wenye shida na maokoto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, jibu ni moja tu 👊👊Waambie huna.
mbona ni rahisi, tena si simu tu hata hamuonani uso kwa uso,
usikwepeshe
Unadhani rahisi?Waambie huna.
mbona ni rahisi, tena si simu tu hata hamuonani uso kwa uso,
usikwepeshe
labda kama ni ndugu wanaomtegemea,Unadhani rahisi?
Ukisema sina anakuuliza lini utakua nayo nikucheki [emoji3]Waambie huna.
mbona ni rahisi, tena si simu tu hata hamuonani uso kwa uso,
usikwepeshe
kama ni mwana unamuamini, ukipata si unampaUkisema sina anakuuliza lini utakua nayo nikucheki [emoji3]
kwani kuna ugum gani? sina full stop unakata na cm Kwisha maneno!Unadhani rahisi?
😀😀 kuna kujisikia vibaya eti.. unless uwe kweli huna.kwani kuna ugum gani? sina full stop unakata na cm Kwisha maneno!
Maisha ya Tanzania ndio yapo hvyo mkuu ukimwambia mtu huna hela mnageuka maadui.Wakuu hali ishakuwa tete,, mnafanyaje kuwakwepa hawa wapiga mizinga wanaoamini wao tu ndo wenye shida na maokoto.
Yaani Kila siku Kuna mtu anaomba pesa hadi simu unaiogopaMaisha ya Tanzania ndio yapo hvyo mkuu ukimwambia mtu huna hela mnageuka maadui.
Hongera sana, Mungu akulinde leo,kesho++Kama kweli huna pesa mwambie ukweli kwamba huna pesa, ila kama unazo na una uwezo wa kumsaidia lakn bado ukakataa sio sawa, huwezi kusaidia kila mtu katika hii dunia lakn inapotokea nafasi ya kusaidia na umethibitisha kweli muombaji ana changamoto mi naona saidia tu.
personally mm nikisaidia alafu mtu akasema asante sana huwa napata feelings flani za furaha na hunitokea automatically.
Bottom line kama unaweza kusaidia fanya hvyo kama huna uwezo kuwa mkweli, what goes around comes around.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ukisema sina anakuuliza lini utakua nayo nikucheki [emoji3]