Dr wa n
Dr wa mirathi ananizidi Nini? . Shida mnaogopa title isiyokuwa na lolote. Tuna madoctor wangapi wameandikiwa thesis?.
Kuwa doctor haimanishi anajua kila kitu. Mambo mengi yanamshinda. Doctor mzima utasemaje unasubiri mchakato wa chama wakati chama kilishawavua uanachama?. Walitakiwa kusubiria Rufaa wakiwa nje ya bunge na sio ndani ya bunge maana sio wanachama.
Walishafukuzwa CHADEMA sio wanachama tena, wanamwakilisha nani?Vile ni viti maalum halali Kwa chama cha chadema na waliokwenda walikuwa ni wanawake wa chadema sasa shida yako nn?
Sawa ni viti vya CHADEMA lakini kina Mdee na wenzake walishafukuzwa na sio wanachama tena wa CHADEMA, kitu gani huelewi hapo? imeshatokea huko nyuma kwa wabunge wa CCM kufukuzwa ubunge kwa sababu ya kupoteza uwanachama waoHahaha but ngoja tujadili this thing
Vile viti maalum ni halali Kwa chadema hapo tunakubaliana,
Sasa kama ni halali Kwa chadema kuna kosa gani Kwa mtu kama mdee, bulaya na wengine kwenda bungeni? Coz zile nafasi ni zao
Walishafukuzwa CHADEMA sio wanachama tena, wanamwakilisha nani?
Sawa ni viti vya CHADEMA lakini kina Mdee na wenzake walishafukuzwa na sio wanachama tena wa CHADEMA, kitu gani huelewi hapo? imeshatokea huko nyuma kwa wabunge wa CCM kufukuzwa ubunge kwa sababu ya kupoteza uwanachama wao
Baada ya nafasi kutoka wapi!Walifukuzwa baada ya nafasi kutoka au kabla ya nasafi kutoka ?
Si wangechukua viti maalumu kutoka TLP au ACT wazalendo!Wale wapo Kwa maslahi ya gavamenti kuonyeaha kwamba demo-kratos ipo nchini na si Chama kimoja
Dr wa n
Dr wa mirathi ananizidi Nini? . Shida mnaogopa title isiyokuwa na lolote. Tuna madoctor wangapi wameandikiwa thesis?.
Kuwa doctor haimanishi anajua kila kitu. Mambo mengi yanamshinda. Doctor mzima utasemaje unasubiri mchakato wa chama wakati chama kilishawavua uanachama?. Walitakiwa kusubiria Rufaa wakiwa nje ya bunge na sio ndani ya bunge maana sio wanachama.
Baada ya nafasi kutoka wapi!
Chadema wanakia na tume ya uchaguzi iliyompelekea majina Ndugai
Msekwa anakia na Halima James Mdee kwa vitendo vya ukibaka akiwa kama mwenyekiti wa Bawacha alielewa kabisa kwamba chama hakijapeleka majina NEC lakini yeye akawabeba wenzake wakaenda gerejini kwa Job!
Sasa kwa muktadha huo hao Covid19 walipaswa waende mahakamani kupingwa kufutwa kawo uanachama meanwhile wakiwa nje ya bunge mpaka pale hukumu itakapotoka, big question ni imekuwaje hawajakata rufaa na hapo bungeni wapo kwa sheria ipi.Ukumbuke chama kinafata sheria za inchi, sio mambo ya kuua Mtoto wako just because ww ndio umemzaa so Una mamlaka nae hapana,
Uwez Tu kuamka asubuh ukaanza kufukuza watu hakuna hayo mambo
Nafasi ziko tangu mwaka 1995!Bado swali langu liko pale pale, je nafasi na kufukuzwa kipi kilianza ?
Sasa kwa muktadha huo hao Covid19 walipaswa waende mahakamani kupingwa kufutwa kawo uanachama meanwhile wakiwa nje ya bunge mpaka pale hukumu itakapotoka, big question ni imekuwaje hawajakata rufaa na hapo bungeni wapo kwa sheria ipi.
Tz hakuna independent MPs hii ni kutokana na katiba iliyopo, mpaka pale watakapopinga kufukuzwa kwao kisheria na wakashinda kwa sasa si wanachama wa CHADEMA.
Kamati kuu ndio imewafukuza.Wameshakata rufaa kwenye kamati kuu Yao, and kamati kuu haijakaa mpaka Leo kuamua rufaa Yao so mpaka kamati kuu ikikaa na kuamua ndio mambo ya mahakamani yatafuata
Hakuna mada hapo, Nchi yenye kufuata misimgi ya katiba na Sheria ni aibu kuendelea kujadili jambo lilowazi kisheria. Huyu Tulia hakiwepo kipindi cha Sofia Simba?.Jikite kwenye mada bwashee.
Mambo ya Lumumba usiyachukulie poa bwashee!
Kwani uwepo wao wewe unaathirikaje? Au hizo posho wasipopewa utafaidikaje nazo, hizo posho iwe iwavyo bado zitapitia kwa wengine na wala si kwako!! Karibu kwa loloteDr wa n
Dr wa mirathi ananizidi Nini? . Shida mnaogopa title isiyokuwa na lolote. Tuna madoctor wangapi wameandikiwa thesis?.
Kuwa doctor haimanishi anajua kila kitu. Mambo mengi yanamshinda. Doctor mzima utasemaje unasubiri mchakato wa chama wakati chama kilishawavua uanachama?. Walitakiwa kusubiria Rufaa wakiwa nje ya bunge na sio ndani ya bunge maana sio wanachama.
Wapuuzi sana na wewe ni Mpuuzi kumlinganisha Mzee Msekwa na huyo BettinaMzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.
Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.
Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?
Maendeleo hayana vyama!
Pia soma
- Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu ( 01/02/2022)
- Mzee Msekwa: Wabunge 19 hawana uhalali kuwepo Bungeni, anayebisha aende mahakamani (08/01/2022)
- Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile (01/11/2021)
- Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge ( 28/11/2020 )
- Spika Mstaafu Msekwa awapongeza CHADEMA kwa kuwafukuza uanachama wabunge waliokwenda kinyume na taratibu zao ( 18/05/2020)
- Kati ya Spika mstaafu Msekwa na Halima Mdee nani yuko sahihi juu ya uhalali wa Wabunge 19 wa CHADEMA?
- Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!
Tusiiililie COVID-19 wala wastaafu wetu, Wala watawala wetu ila tulililie jasho la Kodi ya mlala hoi wa taifa letu tanzania🏋️.Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.
Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.
Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?
Maendeleo hayana vyama!
Pia soma
- Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu ( 01/02/2022)
- Mzee Msekwa: Wabunge 19 hawana uhalali kuwepo Bungeni, anayebisha aende mahakamani (08/01/2022)
- Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile (01/11/2021)
- Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge ( 28/11/2020 )
- Spika Mstaafu Msekwa awapongeza CHADEMA kwa kuwafukuza uanachama wabunge waliokwenda kinyume na taratibu zao ( 18/05/2020)
- Kati ya Spika mstaafu Msekwa na Halima Mdee nani yuko sahihi juu ya uhalali wa Wabunge 19 wa CHADEMA?
- Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!
Kamati kuu ndio imewafukuza.
Rufaa inakatwa kwa mkutano mkuu!