hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Dr wa n
Dr wa mirathi ananizidi Nini? . Shida mnaogopa title isiyokuwa na lolote. Tuna madoctor wangapi wameandikiwa thesis?.
Kuwa doctor haimanishi anajua kila kitu. Mambo mengi yanamshinda. Doctor mzima utasemaje unasubiri mchakato wa chama wakati chama kilishawavua uanachama?. Walitakiwa kusubiria Rufaa wakiwa nje ya bunge na sio ndani ya bunge maana sio wanachama.
Hahaha but ngoja tujadili this thing
Vile viti maalum ni halali Kwa chadema hapo tunakubaliana,
Sasa kama ni halali Kwa chadema kuna kosa gani Kwa mtu kama mdee, bulaya na wengine kwenda bungeni? Coz zile nafasi ni zao