johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #101
Kwani Membe alifukuzwa na watu wangapi kule CCM?Walifukuzwa na kigenge cha watu wachache wanaojiita kamati kuu akina Mdee wakapinga kufukuzwa huko wakapeleka rufaa baraza kuu hadi Leo baraza kuu halijakaa
Katiba ya Chadema imeweka wazi taratibu za MTU kufukuzwa uanachama kuwa process itakamilika mkutano mkuu .Swala LA akina Mdee process haijakamilika.Baraza kuu halijakaa kuridhia na mkutano mkuu haujakaa kuridhia in mpaka hapo baraza kuu na mkutano mkuu utakapokutana na kuridhia ndipo wale watahesabika wamefukuzwa uanachama
Nenda kasome katiba ya chadema kuhusu kazi za baraza kuu na mkutano mkuu
Katiba ya CCM inatamka hivyo kuwa hao wachache waweza kufukuza MTU uanachama na ni final huna popote kwa kwenda chadema katiba yao iko tofautiKwani Membe alifukuzwa na watu wangapi kule CCM?
wewe mpumbavu kuna utaratibu wa kuteua wabunge kwenda kuwailisa viti maalumu kupitia vikao vya bawacha, nyie maccm vipi hamjirekebishi tu pamoja na TWAWEZA kuwaambia ukweli kwamba ni mapumbavu
acha kukomenti upumbavu wenu kama mlivyobainishwa na twaweza. eti "wameenda bungeni" kwa taarifa yako wewe tahahira bungeni hahuendi, bungeni unapelekwa na chamaShida yako unadhan hapa ni Facebook au Badoo,
Hapa ni jamii forums brother,
Mliwafukuza wakina mdee because wameenda bungeni wakati chama hikitambui matokeo na ndio maana hata ruzuki mkasusa so Kwa maaana hiyo basi na ruzuku chukueni
Njaa mbaya sana
leta iko kifungu kwenye katiba ya chadema ,kwa mujibuwa katiba kamati kuu inamamlaka ya kumvua mtu uanachama na uanachama wake unakoma mtu akienda kulalamika baraza kuu ni kuomba kurudishiwa uanachama wake ambao ameshafukuzwaKatiba ya CCM inatamka hivyo kuwa hao wachache waweza kufukuza MTU uanachama na ni final huna popote kwa kwenda chadema katiba yao iko tofauti
acha kukomenti upumbavu wenu kama mlivyobainishwa na twaweza. eti "wameenda bungeni" kwa taarifa yako wewe tahahira bungeni hahuendi, bungeni unapelekwa na chama
Hizo ruzuku kachukue wewe ufaidike
Rudi shule kwanza ukafundishwe kuandika
jibu hoja wewe mpumbavu mliyetajwa kwenye ripoti ya twaweza
jibu hoja wewe mjinga wa chama cha mapumbavu.Ulisoma umri wa kujiunga JF? Unaongea lugha za Facebook
jibu hoja wewe mjinga wa chama cha mapumbavu.
kwa taarifa yako jf nimejiunga kabla yako na nina uelewa mkubwa wa jf kulipo wewe tahahira
Matusi ya nn sasa? Haya twende kwenye hoja yako,
Chadema ni chama kinafata sheria za inchi na sio sheria kama za ndoa
Hakuna mambo ya mtu mmoja kuamua Tu kufukuza watu Kwa utashi wake kama ww unavyoweza kufukuzwa na mke wako
kwenda huko mbumbumbu na kilaza mkubwa kichwani kwako kutakuwa kuna matope na sio ubongo ndio maana TWAWEZA wali waweza unaleta upumbavu kwenye ukweli ulio dhairi, kamati kuu ya Chadema ilikutana ikawafukuza hao kovid uanachama,
Katiba ya Nchi ndio sheria mama ya nchi inaeleza wazi mtu akifukuzwa uanachama hastaili kuendelea na ubunge .
kinachofanywa na bunge kwa hawa kovid ni uvunjwaji wa katiba ya nchi, ndio maana bunge liapitisha sheria ya kipumbavu eti spika hawezi kushtakiwa ni hili kuwepa huu uozo alilofanya
Kwa sababu hiyo ni irrelevant kwa sasa, cha muhimu ni kuwa wamefukuzwa/wamefutwa uanachama kwa hiyo si wanachama. Kama wanaona wameonewa basi wakate rufaa, swahi muhimu ni je wako bungeni na kuendelea kula pesa za walopa kodi pasina kuwa wanachama wa chama chochote cha siasa kwa maslahi ya nani?Mbona hamjadili sababu ya wao kufukuzwa?
Which means kwa sasa si wanachama mpaka uamuzi wa rufaa yao utakapoamua otherwise.Wameshakata rufaa kwenye kamati kuu Yao, and kamati kuu haijakaa mpaka Leo kuamua rufaa Yao so mpaka kamati kuu ikikaa na kuamua ndio mambo ya mahakamani yatafuata
Tulia Ackson yuko sahihi msekwa hayuko sahihi.kushiriki kutengeneza katiba si kwamba ni mjuvi wa katiba hiyo.kuna exception zilizowafanya waende bungeni na wala hawakukurupuka.kulikuwa na technicality katika maamuzi ya chama ambayo yaliwapa wabunge hao loophole ya kwenda bungeni.mistake can't be justified by mistake.makosa yaliyofanywa na CDM ndo yaliyowapa nafasi wadada hao kwenda bungeni ndo maana maspika wote wawili walishikilia uhalali wao kuwepo bungeni.kimsingi vyama vya siasa vinatakiwa kuwa makini sana wanapotoa maamuzi yao na wala mihemuko yao isitawale busara.Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza.
Dr Tulia Ackson: Halima James Mdee na wenzake 18 ni wanachama wa Chadema hivyo ni wabunge halali kwa mujibu wa katiba ya JMT ya 1977 PAMOJA na marekebisho yake.
Kati ya maspika hawa wawili yupi anasema UKWELI kutoka ndani ya moyo wake huku akimuhofu Mungu wa mbinguni?
Maendeleo hayana vyama!
Pia soma
- Halima Mdee: Sisi ni wawakilishi wa chama na hatukuja Bungeni kwa bahati. Nafasi zetu za Ubunge hazipo hatarini hata kiduchu ( 01/02/2022)
- Mzee Msekwa: Wabunge 19 hawana uhalali kuwepo Bungeni, anayebisha aende mahakamani (08/01/2022)
- Pius Msekwa: Mbunge akifukuzwa uanachama na chama chake hawezi kuwa mbunge kwa namna yoyote ile (01/11/2021)
- Pius Msekwa: Kwa mujibu wa Katiba, mpaka sasa Halima Mdee na wenzake hawana sifa za kuwa Wabunge ( 28/11/2020 )
- Spika Mstaafu Msekwa awapongeza CHADEMA kwa kuwafukuza uanachama wabunge waliokwenda kinyume na taratibu zao ( 18/05/2020)
- Kati ya Spika mstaafu Msekwa na Halima Mdee nani yuko sahihi juu ya uhalali wa Wabunge 19 wa CHADEMA?
- Spika Tulia Ackson: Mdee na wenzake 18 wako bungeni kihalali, aeleza kuhusu kurejea kwa Bunge LIVE!
Kwa hiyo wewe ilimradi ni doctor ndio afanye makosa ya makusudi kama tunavyoona? Watu wenye elimu ya hivi hawatusaidii lolote watanzaniaWw na certificate yako ya marketing and banking unajua zaidi ya Dr wa sheria ? Nenda mahakamani basi
Walifoji nyaraka, saini na mihuri ya Chama chao kwa kitendo hicho ni uvunjifu wa sheria. Sitaki kuwa shahidi wa uongo katika hili lakini ndani ya Jambo la Mdee na wenzake mpaka kupelekea kufoji kulikuwa na msukumo wa mtu kujitakasa kutokana na yaliyotokea kwenye uchaguzi mkuu hivyo ingepelekea aibu. Msekwa ni moja ya wazee walio ndani ya Inner Cycle alijua mengi ila alisema kwa uchache Mambo yasiwe mengiTulia Ackson yuko sahihi msekwa hayuko sahihi.kushiriki kutengeneza katiba si kwamba ni mjuvi wa katiba hiyo.kuna exception zilizowafanya waende bungeni na wala hawakukurupuka.kulikuwa na technicality katika maamuzi ya chama ambayo yaliwapa wabunge hao loophole ya kwenda bungeni.mistake can't be justified by mistake.makosa yaliyofanywa na CDM ndo yaliyowapa nafasi wadada hao kwenda bungeni ndo maana maspika wote wawili walishikilia uhalali wao kuwepo bungeni.kimsingi vyama vya siasa vinatakiwa kuwa makini sana wanapotoa maamuzi yao na wala mihemuko yao isitawale busara.
Kitendo cha katibu kusema hakusaini forms zao walizowasilisha ambazo kiutaratibu lazima azisaini basi hapo hakuna cha technicalities wala nini bali ni michezo michafu ilichezwa probably kwa nia ya ku destabilize CDM, wao(Covid19) walifurahia hiyo nafasi kama chanzo cha kuingiza pesa ilhali wakijua ya kuwa hawako pale kwa maslahi ya CDM kwani imeshawakana na officially haijawatuma kuwakilisha chama.Tulia Ackson yuko sahihi msekwa hayuko sahihi.kushiriki kutengeneza katiba si kwamba ni mjuvi wa katiba hiyo.kuna exception zilizowafanya waende bungeni na wala hawakukurupuka.kulikuwa na technicality katika maamuzi ya chama ambayo yaliwapa wabunge hao loophole ya kwenda bungeni.mistake can't be justified by mistake.makosa yaliyofanywa na CDM ndo yaliyowapa nafasi wadada hao kwenda bungeni ndo maana maspika wote wawili walishikilia uhalali wao kuwepo bungeni.kimsingi vyama vya siasa vinatakiwa kuwa makini sana wanapotoa maamuzi yao na wala mihemuko yao isitawale busara.