johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hahahaaaa........ Hakuna mnyakyusa mweupe bwashee!Blakii anajua ndiyo tayari ameshafika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa........ Hakuna mnyakyusa mweupe bwashee!Blakii anajua ndiyo tayari ameshafika.
Pius Msekwa anaijua katiba ya JMT kuliko mtanzania mwingine yoyote!Kwani wewe Yohana unaonaje?
Kuna mweusi na nyeusi. Hii ni nyeusi.Hahahaaaa........ Hakuna mnyakyusa mweupe bwashee!
Mzee Msekwa: Halima James Mdee na wenzake 18 walifukuzwa uanachama wa Chadema kwahiyo hawana chama. Uwepo wao bungeni ni kinyume cha katiba ya JMT ya 1977 niliyoshiriki kuitengeneza...
Uanachama wao ulikoma tangu siku waliyofukuzwa uanachama, hapo hapahitajiki sababu za ziada. Muhimu ni kuwa walifukuzwa uanachama.Wamekoma lini uanachama wao? Na wamekoma Kwa Sababu gani?
Na kwa heshima yake, pale Law School of Tanzania, kuna ukumbi unaitwa Pius MsekwaPius Msekwa anaijua katiba ya JMT kuliko mtanzania mwingine yoyote!
Rufaa wamekata wabunge 6 tu.Mmoja anaweza nisaidia barua ya chadema ikionesha wamefukuzwa chamani.
Pia angesaidia kuonesha maamuzi ya rufaa waliyokataa hado wabunge 19
Hi kitu inaonesha kama chama pia wamekubiliana nayo.
Hata bungeni kuna ukumbi wa Pius Msekwa!Na kwa heshima yake, pale Law School of Tanzania, kuna ukumbi unaitwa Pius Msekwa
Katika uzi huu wewe ndiyo umeainisha ukweli jinsi ulivyo, hako ka Tulia na takataka wenzake pale mjengoni ni toothless kwani wanaendeshwa kwa remote control na bi Urojo kutokea Magogoni.Bwashee ujue tu kuwa hatuna Bunge Bali kuna kikao cha CCM pale mjengoni. Tulia ni Speaker tu radio iko Magogoni jumba jeupe.
Sasa tupe jibu la swali lako sasaHata bungeni kuna ukumbi wa Pius Msekwa!
Nipe mji!Sasa tupe jibu la swali lako sasa
Katiba ya chadema ni sifuri haijui kabisa alitakiwa asome na katiba ya chadema inasemajePius Msekwa anaijua katiba ya JMT kuliko mtanzania mwingine yoyote!
Unazingua ujueNipe mji!
Labda mzee Msekwa hajaisoma katiba ya Chadema!Katiba ya chadema ni sifuri haijui kabisa alitakiwa asome na katiba ya chadema inasemaje
Katiba ya chadema inatamka wazi kuwa mkutano mkuu ndio highest organ yenye uwezo wa kumfukuza mtu uanachama
Mkutano mkuu wa Chadema haujawahi kaa kuamua swala la akina mdee
Uanachama wao ulikoma tangu siku waliyofukuzwa uanachama, hapo hapahitajiki sababu za ziada. Muhimu ni kuwa walifukuzwa uanachama.
Rufaa wamekata wabunge 6 tu.
Wabunge 13 waliridhika wamefukuzwa kihalali ndipo Ndugai akawaita gerejeni na kuwabatiza kwa maziwa na asali!
Tulia yuko sahihi linasubiri maamuzi ya Chadema
Mkutano mkuu wa Chadema ndio wenye mamlaka ya mwisho kuwahusu huo mkutano haujawahi itishwa....