Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

Kati ya urusi na marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi.Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?????
Nadhani jibu unalo ila unataka attention ya watu tu....

Ulishawahi sikia wahamiaji haramu Urusi?

Kwa nini utasikia ni ulaya na Marekani?
 
Marekani Ina sifa moja kubwa, Ina diversity ya raia wa Dunia wote kule. Kuna American Japanese, Kuna American Chinese Hadi Kuna China Town, Kuna African Americans, Kuna Spanish Americans etc. Ila Russia Hakuna diversity kule.
Hilo nakubali. Ni sawa na Dar inavyokimbiliwa na wakuja sababu haibagui raia. Kuna ma Don na makupuku at tha same damn time.
 
Back
Top Bottom