Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

Washirika wa Urusi ni Iran, Belarus, North Korea na kidogo China (japo hawajampa silaha)...

Nchi kuwa na washirika wenye nguvu na tajiri ndio kiashiria cha ukubwa, ushawishi na umuhimu wake.

Kusimama peke yako ni dalili ya kutengwa na kukosa ushawishi.

Kweli kabisa mkuu, Urusi washirika wake hawana nguvu na baadhi yao Wana vikwazo.
 
Kwahiyo msomi urusi sio ndoto ya kila binadamu?????Maana watu hawaendi huko kwa wingi kama wanavyoenda USA
USA haifananishwi na nchi yeyote ile duniani...

Urusi ni ya warusi.

USA si ya Wamerakani tu ni nchi ambayo kila mtu ana nafasi ya kwenda kuishi na akapata huduma zote sawa na Raia wa Marekani.

USA ina "Green card lottery" ya kuchukua raia kila nchi kwenda kuishi Marekani hadi kuna Warusi wamarekani wapo...
 
Hapo nimekuelewa mkuu.Kumbe ni rahisi kupata uraia wa marekani kuliko urusi
 
Marekani wana mambo ya kifala ndio shida yao. Sema hata Urusi ikiwa taifa namba moja kiuchumi wengi watakimbilia huko.
Marekani ina uhuru wa kila jambo liwe jema au baya ili mradi huvunji sheria za Marekani zilizowekwa..

Ni wewe uamue ufanye mema au mabaya within the laws...

Note:Ubaya hapa sizungumzii uhalifu.ila kuna mambo yaliyo kinyume na tamaduni na maadili ya kiafrika Marekani yana ruhusiwa kabisa.
 
Nimeuliza tu sababu kuna watu wanaipinga marekani na kuiunga mkono urusi ila wanapenda kuishi huko marekani na sio urusi.
Hii ndio ilikuwa ajenda yako ya kuanzisha hii thread,jibu unalo sema tu ni vile ulitaka kuwepo huu mjadala
 
Mimi nimeuliza tu maana kuna ndugu zangu tunapanga foleni za appointment ubalozini kwa interview za kuomba viza za kuingia marekani pamoja ila huku JF(Jamii forum) ni wapinga marekani na Nato na kuwaita wamarekani mashoga.
Timu urusi wamekasrika kishenzi wakat ni swali Tu la kawaida 😁😁😁
 
Nataka na mimi niende nchi inayokimbiliwa na vijana wengi kutafuta maisha.Kati ya marekani au urusi.Kuuliza sio ujinga
Katika vitu serikali imefanikiwa ni kuwaaminisha vijana kuwa Tanzania sehemu nzuri ya kujitafutia maisha ndo mana stori za uzamiaji zimepungua, by then Tanzania Kuna shughuli nyingi tu za kufanya na uka escape kulipa Kodi, keep on dreaming your Russian dream 😎
 
Siendi russia

Wachangiaji wameniambia kule nongwa.Naenda marekani @ amadala
 
Hilo nakubali. Ni sawa na Dar inavyokimbiliwa na wakuja sababu haibagui raia. Kuna ma Don na makupuku at tha same damn time.

Hapo umeonesha ulivomjinga next tume usichart umekunywa ambiance
 
Back
Top Bottom