Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

Hakuna mtu na akili timamu ataacha kwenda USA na Ulaya magharibi alafu akaenda Urusi.

1. Jamii ya Kirusi ni jamii ya kibaguzi sana.
Urusi Federation ni moja ya Taifa lenye watu wa jamii nyingi sana, kuna Slavic(wazungu), Turkic (Chechens, Tartars), kuna Mongols (Wachina, Wakorea, Mongoloa) n.k. Licha ya jamii zote hizi; Uchumi, Uongozi, Elimu kwa zaidi ya 90% unatawaliwa na Wazungu (Slavic) ndio maana wote humu tunadhani Urusi ni taifa la wazungu pekee.

Sasa imagine kama mwafrika tena Mtanzania utaishije, utapataje fursa kama Waliozoliwa na kuishi Russia vizazi zaidi ya 4 hawana Fursa sawa na kundi lingine la watu.

2. Lugha
Nilarahisi kuadopt English kuliko Slavic language kwa Mtanzania.

3. Uchumi.
Uchumi wa Russia ni mdogo kutoa Fursa kwa Diaspora or Migrant kabla haujatoa kwa Wananchi wake, so practically sio rahisi Warussia kukupa kazi wakati mwenzao yupo.

4. Kuna uwezekano wa Kufia Ukraine.
Russia hajali maisha ya Raia/askari wake, hivyo kufidia nguvu kazi ya Jeshi lake katika Vita ya Ukraine itatafuta watu ambao ni cheap labour na practically wanafaida ndogo kwa Russia, so kwa kosa dogo sana, utaenda vitani tena Bure
 
Kuna vitu kidogo nirekebishe kuhusu tartar,s,chechen,s na slavic,s kama ukiniruhusu msomi.Alafu ukisema wote humu tunajua urusi ni taifa la wazungu pekee unakosea msomi,nadhani hilo ni kwa wale ambao hawajui historia ya falme za kirusi(Slavic kingdoms) na muingiliano wao na jamii za watu wa asia ya kati pamoja na jamii za asia ya kati zilizokua influenced na ottoman empire era,s.
 
Back
Top Bottom