Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa vijana kwenda kutafuta fursa?

Marekani Ina sifa moja kubwa, Ina diversity ya raia wa Dunia wote kule. Kuna American Japanese, Kuna American Chinese Hadi Kuna China Town, Kuna African Americans, Kuna Spanish Americans etc. Ila Russia Hakuna diversity kule.
Kwahiyo marekani ndio super power kwa sasa kuliko urusi kiuchumi
 
Marekani Ina sifa moja kubwa, Ina diversity ya raia wa Dunia wote kule. Kuna American Japanese, Kuna American Chinese Hadi Kuna China Town, Kuna African Americans, Kuna Spanish Americans etc. Ila Russia Hakuna diversity kule.
Marekani ni changanyikeni, kila nasaba ya binadamu ipo huko inatafuta maisha.
 
Kama Elon Musk ni mkaburu ila amekuwa tajiri namba moja in the name of America.

Yes, mcheki hata shwatzneger, wa Austria, lakini amewahi kuwa gavana US Jimbo la carlifonia. Marekani kwa kifupi haina mwenyewe ukiondoa red Indians ambao ndio wakazi asilia.
 
Hapo wapo 50 50. Ila Urusi namkubali maana anasimamia mwenyewe hana washirika kwenye Vita.
Washirika wa Urusi ni Iran, Belarus, North Korea na kidogo China (japo hawajampa silaha)...

Nchi kuwa na washirika wenye nguvu na tajiri ndio kiashiria cha ukubwa, ushawishi na umuhimu wake.

Kusimama peke yako ni dalili ya kutengwa na kukosa ushawishi.
 
Back
Top Bottom