Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #41
Mimi nilikua najua kijeshi china ndio inaongoza msomiHutaki ama unahitaji malumbano? Hilo ndo limepelekea NATO kuundwa.
Washirika wa Urusi ni Iran, Belarus, North Korea na kidogo China (japo hawajampa silaha)...
Nchi kuwa na washirika wenye nguvu na tajiri ndio kiashiria cha ukubwa, ushawishi na umuhimu wake.
Kusimama peke yako ni dalili ya kutengwa na kukosa ushawishi.
USA haifananishwi na nchi yeyote ile duniani...Kwahiyo msomi urusi sio ndoto ya kila binadamu?????Maana watu hawaendi huko kwa wingi kama wanavyoenda USA
Duuh kumbe urusi ni nongwa kule hakuna maisha.Marekani inaitwa Dream Land, kila binadamu anaiwaza marekani na ndio maana kila race ya dunia hii ipo marekani
Kuuliza sio ujinga mkuu
Mimi nilikua najua kijeshi china ndio inaongoza msomi
Hapo nimekuelewa mkuu.Kumbe ni rahisi kupata uraia wa marekani kuliko urusiUSA haifananishwi na nchi yeyote ile duniani...
Urusi ni ya warusi.
USA si ya Wamerakani tu ni nchi ambayo kila mtu ana nafasi ya kwenda kuishi na akapata huduma zote sawa na Raia wa Marekani.
USA ina "Green card lottery" ya kuchukua raia kila nchi kwenda kuishi Marekani hadi kuna Warusi wamarekani wapo...
Wanapigana na taiwan so soon mkuu????Au hakuna vita tenaShida ya China hajafanya operation Kali Kama Urusi na marekani.
Duuh kumbe urusi ni nongwa kule hakuna maisha.
Marekani ina uhuru wa kila jambo liwe jema au baya ili mradi huvunji sheria za Marekani zilizowekwa..Marekani wana mambo ya kifala ndio shida yao. Sema hata Urusi ikiwa taifa namba moja kiuchumi wengi watakimbilia huko.
Kuna ubaguzi kuliko marekani msomi???Shida ya Urusi Kuna kaubaguzi Ila sio kwamba uchumi wao ni mbaya Ila unaachwa mbali na marekani, walipo Jeff bezos, Warren buffet, Bill gates na Elon Musk.
Hii ndio ilikuwa ajenda yako ya kuanzisha hii thread,jibu unalo sema tu ni vile ulitaka kuwepo huu mjadalaNimeuliza tu sababu kuna watu wanaipinga marekani na kuiunga mkono urusi ila wanapenda kuishi huko marekani na sio urusi.
Timu urusi wamekasrika kishenzi wakat ni swali Tu la kawaida πππ
Karibu uchangie mkuu.Karibu sanaHii ndio ilikuwa ajenda yako ya kuanzisha hii thread,jibu unalo sema tu ni vile ulitaka kuwepo huu mjadala
Mimi na asilimia kubwa ya watu tunaona Marekani ni heri kutafuta maisha kuliko Urusi..Karibu uchangie mkuu.Karibu sana
Bora na mimi niende Chicago.Urusi nishaona kugumu kule naweza nikaishia wagner group kama mamulukiMimi na asilimia kubwa ya watu tunaona Marekani ni heri kutafuta maisha kuliko Urusi..
Katika vitu serikali imefanikiwa ni kuwaaminisha vijana kuwa Tanzania sehemu nzuri ya kujitafutia maisha ndo mana stori za uzamiaji zimepungua, by then Tanzania Kuna shughuli nyingi tu za kufanya na uka escape kulipa Kodi, keep on dreaming your Russian dream πNataka na mimi niende nchi inayokimbiliwa na vijana wengi kutafuta maisha.Kati ya marekani au urusi.Kuuliza sio ujinga
Wachangiaji wameniambia kule nongwa.Naenda marekani @ amadalaKatika vitu serikali imefanikiwa ni kuwaaminisha vijana kuwa Tanzania sehemu nzuri ya kujitafutia maisha ndo mana stori za uzamiaji zimepungua, by then Tanzania Kuna shughuli nyingi tu za kufanya na uka escape kulipa Kodi, keep on dreaming your Russian dream π
Sawa nenda USA mama zangu wapo huko wanapiga uber na wapo vizuriSiendi russia
Wachangiaji wameniambia kule nongwa.Naenda marekani @ amadala
Hilo nakubali. Ni sawa na Dar inavyokimbiliwa na wakuja sababu haibagui raia. Kuna ma Don na makupuku at tha same damn time.