Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #61
Amadala naenda chicago pale uptown kuna click kibao wapo watanzania wengi as gang banger,s, kwenye fiction tofauti tofauti nikabangaize some dollar's.Maana urusi kushakua nongwa naweza nikajikuta wagner group au kama kakangu mrisho ambae mpaka leo yuko kule siberia anakata magogo.Sawa nenda USA mama zangu wapo huko wanapiga uber na wapo vizuri
Hapo umeonesha ulivomjinga next tume usichart umekunywa ambiance
Nato haikuundwa sababu Urusi aliizidi Marekani, Urusi nayo iliunda umoja wake wa kujihami pia sema ukaja kuvunjika na nchi nyingi zilizokuwa upande wa Urusi zikahamia upande wa Marekani, na Urusi ambayo ilikuwa Umoja wa Usovieti kipindi hicho ikasambaratikaHutaki ama unahitaji malumbano? Hilo ndo limepelekea NATO kuundwa.
Urusi iliunda USSR na USA iliunda NATONato haikuundwa sababu Urusi aliizidi Marekani, Urusi nayo iliunda umoja wake wa kujihami pia sema ukaja kuvunjika na nchi nyingi zilizokuwa upande wa Urusi zikahamia upande wa Marekani, na Urusi ambayo ilikuwa Umoja wa Usovieti kipindi hicho ikasambaratika
USSR, East Germany, Albania, Romania, Bulgaria, Poland etc walikuwa na umoja wao wa kijeshi ulioitwa Warsaw Pact, sema ukaja kusambaratikaUrusi iliunda USSR na USA iliunda NATO
Huwa ninashangaa sana kwa mfano kwenye hii vita mtu anashabikia Urusi, ukiwambia kuna VISA ya bure kwenda Urusi hakubališššKati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
Chanzo kilikua nn kusambaratika ??USSR, East Germany, Albania, Romania, Bulgaria, Poland etc walikuwa na umoja wao wa kijeshi ulioitwa Warsaw Pact, sema ukaja kusambaratika
Urusi ni nongwa,wadau wamesema hapa mkuuHuwa ninashangaa sana kwa mfano kwenye hii vita mtu anashabikia Urusi, ukiwambia kuna VISA ya bure kwenda Urusi hakubališšš
Unatafuta ugomvi na watu mkuuWarusi wenyewe manataman kwenda kutafuta maisha marekani
Ngoja Bwana Utam aje kukupa mwongozoš¤£Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
Na pia tupe mfano iliyo wazi tojue wale walio US hasa WATANZANIA wana maendeleo yanayo onekana hapa TANZANIA unaweza kusema hii ni Mradi au BIASHARA au Nyumba iliyo standard ni mafanikio ya Jamaa alikuwa anaishi US tujue na sisi.Kati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
Ufala gan?? Bas muende Urusi kusiko na ufalaa. Lakini hamuendi lol.Marekani wana mambo ya kifala ndio shida yao. Sema hata Urusi ikiwa taifa namba moja kiuchumi wengi watakimbilia huko.
Ufala wao unauelewa vyema kabisaUfala gan?? Bas muende Urusi kusiko na ufalaa. Lakini hamuendi lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unafikiiiii
Wako very proud, hutaki kunywa sumu, na hawajakulazilisha uende huko, shobo zako ndo zitakupelekaaaaa.Halafu wanaushabikia kijnga Sana, Hadi msemaji wa ikulu na waziri wa uchukuzi Ni mashoga.
USAKati ya Urusi na Marekani ni nchi ipi inaongoza kwa watu duniani kuomba hifadhi. Hivi vijana wa dunia hii ukiwaambia wachague kuishi marekani au urusi,watakimbilia wapi?
Ndyooooooo!!!!!Marekani inaitwa Dream Land, kila binadamu anaiwaza marekani na ndio maana kila race ya dunia hii ipo marekani
Si ungesema Ushogaa, kwann uogopee???Marekani ina uhuru wa kila jambo liwe jema au baya ili mradi huvunji sheria za Marekani zilizowekwa..
Ni wewe uamue ufanye mema au mabaya within the laws...
Note:Ubaya hapa sizungumzii uhalifu.ila kuna mambo yaliyo kinyume na tamaduni na maadili ya kiafrika Marekani yana ruhusiwa kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan Urusi hakuna huo ufalaaaa???Ufala wao unauelewa vyema kabisa