Kati ya Viongozi hawa Tumuamini nani , mbona wanatufanya Watanzania ni wajinga kiasi hiki?

Wote waongo waliokithiri.
 
Ndani ya CCM kuna ubabaishaji mwingi....inasikitisha saana!!
 
We muoga na mjinga ambaye bado unaogopa kivuli cha hayati.
 
Samahani serikali uwa ina watumishi wangapi kwa ujumla?
 
Kama unawivu nayeye kwanini usimfuate acha kutufokea. Unamwandikia nani sasa hayo maneno, si umfwate huko ili ukamwambie vizuri kuliko kutupigia kelele hapa.
 
Tena wanasema moja ya sababu ya kuporomoka kiuchumi ni Covid-19 waliyokuwa wakikana kuwepo nchini kwetu..Ni maajabu haya. Zimwi la uchafuzi 28/10 linawasumbua.
Don't be st........ .we r not an island , on economic point of view effects of corona even if we didn't have it, but others did and they continue to have it , hence there are certain business with others which are not operating at the level or in a degraded fashion/way
 
Inawezekana ni kweli kwamba Watanzania ni wajinga na hawatunzi kumbukumbu kutokana na ujinga wao , lakini siamini kama watu hawa ni mbumbumbu kiasi cha kudanganywa kibwege namna hii.

Mkuu

Usiwe unapenda kuita kama hauna utafiti aushi
1. Ajira mil 8 ni kwa kipindi cha ndani ya miaka mitano tangu 2020-2025 kwa mjibu wa ilani ya chama chao
2. Ajira mil 12 ni kwa mjibu wa uwezo wa kuajiri endapo furasa zinazotegemewa kuwekezwa ndani ya miaka mitano zaweza kufanyika
3. Ajira Elfu 40 ni kwa mwaka wa bajeti kuanzia Julai 2021 sio miaka mitano
4. Ajira Laki 5 ni mujumuiko wa sekta zote za serikali, umma na binafsi kwa bajeti iliyopangwa na fursa za kiuchumi zikiwa tayari

Mwaka haujaisha halafu unadai kudanganywa je, unatumia kigezo gani cha ithibati?
 
Porojo wapigie wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…